Envaya

Kutoa elimu ya kupambana na Ukimwi pamoja na magonjwa ya Kifua kikuu,malaria na kuhara.

Latest Updates
TAASISI YA KUPAMBANA NA UKIMWI KITANGARI added a News update.
Tarehe 21 hadi 23 Nov.2011 Asasi ta TAKUUKI imepata nafasi kushiriki Tamasha la 9 la azaki bora Tanzania ambalo limefanyika Dar es Salaam katika Hoteli ya Blue Peal.Mwakilishi wa Azaki amejionea mwenyewe jinsi asasi mbalimbali walivyoweza kuonesha kazi zao ambazo wanahudumia jamii.Mwakilishi wa asasi hiyo ambaye ni... Read more
November 23, 2011
TAASISI YA KUPAMBANA NA UKIMWI KITANGARI added 3 News updates.
TAARIFA YA FEDHA YA MRADI WA UNASIHI NA UPIMAJI HIARI WA VIRUSI VYA UKIMWI KATA ZA MALATU NA MCHEMO Wilayani Newala imeandaliwa na Mtunza Hazina wa Asasi ya TAKUUKI Ndg. Veronica Maluchila. – Taarifa ni kwa Muundo wa The Foundation For Civil Society. ... Read more
June 30, 2011
TAASISI YA KUPAMBANA NA UKIMWI KITANGARI has a new message in the discussion HALI YA UGONJWA WA UKIMWI TANZANIA..
DR PETER KIBACHA: @NG'ONYE JOHN (Mkurugenzi wa Taasisi ya Kupambana na Ukimwi Kitangari.): – Vizuri sana John;Nafikiri watu wanahamu kubwa ya kupata dawa ya ugonjwa huu;hasa wale ambao wameshaathirika ndio maana watu wengine (siyo babu wa loliondo) wanatumia njia ya kujipati fedha wakijua kwamba dawa haitibu lakini watu... Read more
June 8, 2011
TAASISI YA KUPAMBANA NA UKIMWI KITANGARI has a new message in the discussion HALI YA UGONJWA WA UKIMWI TANZANIA..
victory Agency Tz Trust : Ugonjwa huu bado ni tishio katika nchi yetu ya Tanzania,tunachotakiwa kufanya ni kuendelea kuhamasisha jamii kujikinga na ugonjwa huu.
June 8, 2011
TAASISI YA KUPAMBANA NA UKIMWI KITANGARI has a new discussion about HALI YA UGONJWA WA UKIMWI TANZANIA..
NG'ONYE JOHN: Ugonjwa wa UKIMWI bado ni tatizo katika nchi yetu ya Tanzania,lakini baadhi ya wananchi wengine wanaonesha kuridhika kuwepo kwa Ugonjwa huu eti kwasababu ya kupatikana kwa tiba ya miti shamba kama ambavyo babu Mchungaji Ambilikile wa Loliondo anavyotibu kwa Kikombe.Kuridhika kwao hudiriki... Read more
June 2, 2011
Sectors
Location
Kitangari, Mtwara, Tanzania
See nearby organizations