Kufanya shughuli zote zinazohusu viziwi,kutoa huduma na kuandaa mikakati mbali mbali kwa manufaa ya viziwi na wanachama.
Kuunganisha na kuelimisha viziwi ili wapate hali bora ya maisha na huduma muhimu kama raia wengine wa Tanzania.
Kupigania haki na usawa,ushirikiano na jumuiya nyingine,vyombo vya serikali na mashirika mbalimbali yenye malengo yanayolingana na matakwa ya CHAVITA.
Kuhakikisha matumizi ya Lugha ya Alama ya Tanzania inapewa kipaumbele na kutumiwa na viziwi wote na wakalimani mahali popote.
Kukusanya Takwimu za watoto viziwi waliopo katika wilaya za mkoa wa Tanga Kwa kushirikiana na ofisi za serikali kuu na serikali za mitaa.
Mabadiliko Mapya

Tanzania Association for the Deaf(TAD) Tanga Branch(CHAVITA TANGA) imeongeza Habari 11.
PICHA YA PAMOJA WAJUMBE WA MKUTANO NA MGENI RASMI
7 Aprili, 2012
Tanzania Association for the Deaf(TAD) Tanga Branch(CHAVITA TANGA) imeumba ukurasa wa Miradi.
Hivi sasa mradi wa lugha ya alama kwa wazazi wa viziwi na viziwi uliokuwa unaendeshwa katika wilaya 8 za mkoa wa Tanga umemalizika na mkataba kati ya CHAVITA NA FOUNDATION Umeshafungwa. kwa sasa CHAVITA Kipo katika mchakatowa kuandika mradi mwingine wa MKUKUTA. – Kwa upande mwengine CHAVITA kipo katika maanalizi ya mkutano mkuu wa... Soma zaidi
7 Aprili, 2012
Tanzania Association for the Deaf(TAD) Tanga Branch(CHAVITA TANGA) imejiunga na Envaya.
18 Machi, 2012
Sekta
Sehemu
TANGA, Tanga, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu