Fungua
Society for Women and AIDS in Africa

Society for Women and AIDS in Africa

Misufini mtaa wa police, Tanzania

Hawa ni watoto yatima wanaoishi katika wilaya ya mvomero katika kata ya turian, shirika limechukua hatua ya  kuwasomesha kwa sababu wanaishi na bibi yao ambaye hana uwezo wa kuwasomesha. baba yao aliye wazaa yupo hai lakini naye hajiwezi kwa sababu ni mlemavu wa  miguu. Mwananchi yeyote ambaye ameguswa na hili na anapenda kuwasaidia  watoto hawa anakaribishwa. kwa mawasiliano 0714 681768

14 Februari, 2013
« Iliyotangulia

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.