Fungua
SINGIDA RURAL PEOPLE LIVING WITH HIV/AIDS(SIRUPHA)

SINGIDA RURAL PEOPLE LIVING WITH HIV/AIDS(SIRUPHA)

singida vijijini, Tanzania

kuhamasisha upimaji wa virus vya ukimwi kwa jamii kwa hiyari

kutoa msaada kutegemeana na tuupatapo kutoka kwa wahisani kwenda kwa waishio na virus vya ukimwi.na kuhakikisha inawafikia walengwa kama ilivyopangwa.

kujengea uwezo kwa waliogundulika na virusi vya ukimwi kuishi kwa makundi yenye matumaini

kupigania na kutetea haki za watu wanaoishi na virusi vya ukimwi na watoto yatima watokanano na kufiwa na wazazi wao (mmoja au wote)

 

Mabadiliko Mapya
SINGIDA RURAL PEOPLE LIVING WITH HIV/AIDS(SIRUPHA) imejiunga na Envaya.
25 Mei, 2012
Sekta
Sehemu
singida vijijini, Singida, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu