Vicoba ndio mkombozi wetu kwa sababu vicoba vinamfanya mwananchi aweze kujiwekea akiba na kupata mikopo yenye masharti nafuu na kwa urahisi zaidi.