Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations

SEDIT is a Non Governmental, Non Political, Non Religious Organization geared towards promoting the marginalized communities in managing Socio-economic development programme through participation of credit interventions.

Amakuru agezweho
SOCIAL AND ECONOMIC DEVELOPMENT INITIATIVES OF TANZANIA afite ubutumwa bushya mu kiganiro Wananchi tujiunge na VICOBA ili waweze kuondoa umaskini.
B. D. WADELANGA (SEDIT): Hellow mr Athanas Haule, SOCIAL AND ECONOMIC DEVELOPMENT INITIATIVES OF TANZANIA (SEDIT) asante kwa ujumbe wako wa kuhitaji Huduma za VICOBA. SEDIT tuna utaalamu wa kutosha wa kutoa mafunzo ya VICOBA. Uzoefu wetu ni wa miaka kumi hadi sasa tukiwa tumefanya... Soma ibindi
16 Kamena, 2011
SOCIAL AND ECONOMIC DEVELOPMENT INITIATIVES OF TANZANIA afite ikiganiro kuri Wananchi tujiunge na VICOBA ili waweze kuondoa umaskini.
agatha kisaka: Kweli kabisa wananchi wa Tanzania wajiunge na mfumo wa VICOBA ili waweze kuondoa umaskini kwa sababu tulio wengi tuna tatizo la kujiwekea akiba ambayo itatufanya tuweze kupunguza tatizo la mitaji na kutatua matizo ya dharura mfano ugonjwa ,ada za shule na tatizo la kiafya.
8 Kamena, 2011
SOCIAL AND ECONOMIC DEVELOPMENT INITIATIVES OF TANZANIA afite ikiganiro kuri VIcoba ndio mkombozi wetu.
agatha kisaka: Vicoba ndio mkombozi wetu kwa sababu vicoba vinamfanya mwananchi aweze kujiwekea akiba na kupata mikopo yenye masharti nafuu na kwa urahisi zaidi.
8 Kamena, 2011
SOCIAL AND ECONOMIC DEVELOPMENT INITIATIVES OF TANZANIA yakoze Amateka paje.
Historia ya Fupi ya Shirika na Shughuli Zake SEDIT ni shirika lisilo la kiserikali lililosajiliwa Februari 23, 2005 chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ambalo makao makuu yake yapo Ilala Sharifu Shamba, kitalu namba 58. Shirika letu limekuwa likijihusisha na uanzishaji wa vikundi vya... Soma ibindi
8 Kamena, 2011
Izindi mbuga
Ibyiciro
Aho uherereye
Dar es salaam, Dar es Salaam, Tanzaniya
Reba ibigo mwegeranye