SAVE MY TALENT KUTEMBELEA MIKOA YA KASKAZINI MWA TANZANIA IKIWA NI PAMOJA NA ARUSHA NA MANYARA,
katika kuhakikisha shirika linaibua kukuza na kuendeleza vipaji vya watanzania wote ili kufanya mtanzania mwenye kipaji anatumia kipaji chake ili kujiajiri yeye mwenyewe,shirika kupitia mkurugenzi wake Mr Alexander Lema wa pili kushoto alie valia kiamsai akiwa mkoani Manyara na vijana wa kikundi cha utamaduni na sanaa cha masai ambao walipiga picha ya pamoja,lengo la ziara ni pamoja na kutimiza azma ya shirika KUTEMBELEA MIKOA YOTE YA NCHI NZIMA,kufanya utafiti mbalimbali na kuvumbua vipaji,chanzo na asili yake,vikwazo na changamoto wanzokabiliana nazo vijana na kutafuta suluhisho la kukabiliana na matatizo hayo,SAVE MY TALENT IMEKWISHA TEMBELEA MIKOA YA TABORA,DODOMA,MOROGORO,SINGIDA,MOSHI NA KIGOMA hata hivyo kwa mwaka 2013 shirika limepanga kutembelea mikoa mingine mitano ambayo ni pamoja na ARUHA,MANYARA,MBEYA,IRINGA NA MWANZA,hivyo basi shirika linaomba ushirikiano wako pale itakapo jitokeza