Fungua
SAVE MY TALENT (SMT)

SAVE MY TALENT (SMT)

Save Tanzania Youth

Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

SAVE MY TALENT YAWASILI MKOANI KIGOMA,

ni katika moja ya mipango maalumu ya kuibua,kukuza na kuendeleza vipaji ambapo timu ya wanachama wa save my talent ikiongozwa na mkurugenzi mtendaji Mr Alexander Lema itatembelea asasi mbalimbali katika mkoa huo ikiwa na malengo mbalimbali,

Moja ya malengo ya ziara ni pamoja na.

  • Ø  Kujenga mahusiano na kufahamiana.baina ya SAVE MY TALENT NA NA SHIRIKA HUSIKA
  • Ø  Kushirikiana,na asasi nyingine zenye malengo yanayofanana kama sehemu moja ya kazi zetu.
  • Ø  Kufahamu vipaji vilivyopo mkoa wa kigoma na vinavyoendelezwa na asasi.
  • Ø  Shuhuli zinazoendeshwa na asasi yenu pamoja na malengo yenu kwa ujumla.
  • Ø  Na mengineyo ambayo hatuyafahamu mkoa wa kigoma.

Miongoni mwa mashirika tutakayo yatembelea mkoa wa kigoma ni pamoja na

  • Ø  KIGOMA AND UJIJI NON GOVEMENT NETWORK
  • Ø  KIGOMA VIJANADEVELOPMENT ASSOSIATION (KIVIDEA)
  • Ø  KIGOMA DISABLES SURVIVAL ORGANISATION.
  • Ø  KIGOMADEVELOPMENTPROMOTION AGENY
  • Ø  TANZANIA COMMUNITY BASED OPTION(TCBO)
  • NYAKITONTO YOUTH DEVELOPMENT TANZANIA(NYDT)
10 Oktoba, 2012
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (1)

SIA ARON (KINONDONI) alisema:
nawapenda sana na naima ipo siku tutaungana pamoja ni mimi mwanafunzi wa actas SIA ARON
16 Septemba, 2013

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.