Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
SAVE MY TALENT KUTEMBELEA MIKOA MITANO YA TANZANIA BARA
Ikiongozwa na mkurugenzi mtendaji mr Alexander Lema,kutakua na ziara ya kutembelea mikoa mitano ya Tanzania bara,lengo kuu ni kuchunguza na kufanyia utafiti vipaji mbalimbali vilivyojificha katika mikoa hiyo,vipaji vitakavyochunguzwa na kuibuliwa ni vya aina zote,pamoja na muziki,mpira,uigizaji uchoraji na michezo mingine ya ajabu katika jamii ambayo mtu anaweza kuanayo kama sehemu moja ya kipaji chake,
mikoa hiyo ni pamoja na KIGOMA,TABORA,SINGIDA,DODOMA NA MOROGORO,zipo taasisis mbalimbali ambazo tumeamua kushirikiana nazo,hivyo basi katika kufanikisha zoezi letu tunaomba ushirikiano wako pindi tutakapokufikia.SAVE MY TALENT,Save Tanzania youth
4 Oktoba, 2012