Sehemu ya wananchi wa Kata ya Misugusugu katika halmashauri ya Mji wa Kibaha walioshiriki katika uzinduzi wa Zahanati wakati wa Sherehe za Mbio za Mwenge, Ambapo Pwani-DPA kwa kuhamasisha jamii kuchangia kushiriki kufanya usafi wa mazingira katika ngazi ya kaya ili kupunguza mazalia ya Mbu
25 Machi, 2011