Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
wanachi wakifuatilia kwa makini maoni ya mdahalo wa mchakato wa katiba -katika mdahalo Jijini Mwanza
Mkurugenzi mtendaji Mr Adam Robert-kitaaluma ni mwanasheria(aliesimama)akiwa katika mdahalo wa musuada wa katiba akiwasilisha mapendekezo ya AZAKi -kwa wananchi Jijini Mwanza-
wananchi wakiwa makini kuitia musuada wa mchakato wa katiba Jijini Mwanza
waandishi wa habari wakichukua maoni ya wananchi wakati wa mdahalo-wa musuada wa katiba-Jijini Mwanza
baadhi ya wadau wakimsiliza Mkurugenzi wa PRLA wakati wa mdahalo wa mchakato wa musuada wa katiba -Jijini Mwanza