kupambana na umasikini kwa kutoa elimu ya kuwajengea uwezo wananchi kufaamu fursa mbalimbali za kitaifa na kimataifa kupitia mikutano,makongamano,warsha, semina na mafunzo kwa njia ya majarida,vipeperushi mabango na matangazo kwa vyombo vya habari
Mabadiliko Mapya

policy curiosity society(POCUSO) imeongeza Habari 3.
picha za mwenyekiti ambaye ni mshiriki na mwakilishi wa POCUSO
2 Juni, 2019
policy curiosity society(POCUSO) imehariri ukurasa wa Historia.
shirika limeanzishwa mwaka 2008 na kupata sajiliwa mwaka 2009 katika Ofisi za wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsi na watoto Tarehe 13/07/2009 na kupewa cheti cha Usajili chenye namba 00003269. – katika kipindi cha uhai wa shirika tumeweza kushirikiana na viongozi wa vijiji,vitongoji,kata na Wilaya katika wilaya ya mkuranga kwa... Soma zaidi
2 Juni, 2019
policy curiosity society(POCUSO) imeumba ukurasa wa Mkuu.
kupambana na umasikini kwa kutoa elimu ya kuwajengea uwezo wananchi kufaamu fursa mbalimbali za kitaifa na kimataifa kupitia mikutano,makongamano,warsha, semina na mafunzo kwa njia ya majarida,vipeperushi mabango na matangazo kwa vyombo vya habari
17 Septemba, 2013
policy curiosity society(POCUSO) imeumba ukurasa wa Historia.
shirika limeanzishwa mwaka 2008 na kupata sajiliwa mwaka 2009 katika Ofisi za wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsi na watoto Tarehe 13/07/2009 na kupewa cheti cha Usajili chenye namba 00003269. – katika kipindi cha uhai wa shirika tumeweza kushirikiana na viongozi wa vijiji,vitongoji,kata na Wilaya katika wilaya ya mkuranga kwa... Soma zaidi
7 Februari, 2012
Sekta
Sehemu
mkuranga, Pwani, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu