Kimsingi, sasa hivi hali ya migomo na maandamano katika nchi hii ni ya kila kukicha ukilinganisha na wakati wa nyuma. Hii ni kwa sababu ya kudolola kwa huduma za jamii kwa jamii na kukiukwa kwa haki za binadamu.