Envaya imekurahisishia kushirikiana na asasi zilizopo katika ukanda wa Afrika ya Mashariki.
Chini ni orodha ya asasi zinazohitaji watu wa kujitolea.
Kumbuka: Nafasi zote za kujitolea zinawekwa na kuratibiwa na asasi zilizoorodheshwa hapo chini, na siyo Envaya. Envaya haihusiki na chochote kuhusiana na nafasi hizi za kujitolea zitakazo tangazwa na asasi.
23 Mei, 2012 ![]() | Mrumate Disabled Centre - Dear Sir / Madam, – I have great honour to introduce Mrumate Disabled Centre to you. This is Non Profit Organization helping people with disability in the rural areas. – We are looking for Volunteers to work with us especially Physiotherapist / Nurses who interested to work in the rural areas in Arusha or Moshi rural... Soma zaidi |
22 Mei, 2012 | TUNAWEZA WOMEN GROUP - Kwanza tunatoashukrani za dhati kwenu Envaya kwa kutusaidia ukurasa huu. Shirika letu la TUNAWEZA WOMEN GROUP tunahitaji mwalimu wa michezo tunao vijana ambao wana hitaji mwalimu wa kuwafundisha nakuwasimamia katika mchezo wa mpira wa miguu,tunahitaji pia mwalimu wa kufundisha ushonaji kwani tunao wasichana wanaojifunza ufundi wa kushona... Soma zaidi |
21 Mei, 2012 ![]() | KACA (Kilimanjaro Aids Control Association) - I would like to enqier about volunteers who can work with us on Income generating activities. (Enterprenureship) |
21 Mei, 2012 | Mpotola Secondary School - Mpotola Sekondari bado inaendelea kuimarisha elimu, nimekuwa nikifuatilia matokeo ya vijana waliohitimu katika shule ambayo imekuwa miongoni mwa shule za Kata. Awamu ya kwanza shule ilitoa wanafunzi 7 kwenda kidato cha tano mwaka 2009 ambao mwaka huu wamefanya mtihani wa kidato cha sita. Matokeo yao yamefuta ukweli kuwa... Soma zaidi |
21 Mei, 2012 ![]() | Sunya Ward Education and Training - SWEAT Development Programme in Kiteto disrict of Manyara region in the northern part of Tanzania, will like to request for volunteers in the areas of organizational development, fundraising and IT, the required skills are as/according to our needs. – Our geographical location is 121 km south east of Kibaya... Soma zaidi |
21 Mei, 2012 ![]() | Umma wa Wapanda Baisikeli (UWABA) - UWABA Dar es Salaam Cycling Community welcomes volunteers to work on any or all of our projects including: – advocacy work with Government institutions to improve cycling conditions in Dar es Salaam;
cycle safety education in schools and community;
helping to develop Fasta Cycle Messengers... Soma zaidi |
8 Mei, 2012 ![]() | Landany Secondary School DSM (LASSCO) Under Shake Hands Youth Organisation(N.G.O) - A REQUEST FOR VOLUNTEERS – The Organization's demands for volunteers based upon the number of occupations requirement in our school. – VOLUNTEERS REQUIRED ACCORDING TO THE DEMANDS ARE... Soma zaidi |
6 Mei, 2012 ![]() | Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) - MED inatafuta volunteers awa kutoka ndani au nje ya nchi kwa ajili ya nafasi ya Afisa Programme. Volunteer atafanya kazi katika ofisi za MED zilizoko Mkoani Dodoma. Majukumu makuu ya Afisa huyo ni kuandika miradi na kusimamia utekelezaji wa Miradi hiyo kwa kushirikiana na maafisa wengine wa MED. – Itapendeza zaidi kama mhusika... Soma zaidi |
2 Mei, 2012 ![]() | TUNDUMA YOUTH DEVELOPMENT - asasi ina mpamgo wa kuanzisha mradi wa kufuga samaki ,tatizo ni mtaalamu wa kutusaidia kufuga samaki.kwa sasa tunahitaji ushauri na mradi ukianza tutahitaji mtaalamu wa kutunza samaki.mawasiliano 0768373804 |
2 Mei, 2012 ![]() |