Envaya

Jitolee!

Envaya imekurahisishia kushirikiana na asasi zilizopo katika ukanda wa Afrika ya Mashariki.

Chini ni orodha ya asasi zinazohitaji watu wa kujitolea.

Kumbuka: Nafasi zote za kujitolea zinawekwa na kuratibiwa na asasi zilizoorodheshwa hapo chini, na siyo Envaya. Envaya haihusiki na chochote kuhusiana na nafasi hizi za kujitolea zitakazo tangazwa na asasi.
21 Oktoba, 2016
Muungano wa Wajasiriamali Migombani(MUWAMI) - MUWAMI are wamly welcomes volunteers from all over the world to join us for any interested projects implemented with the group. KARIBU SANA!!!! – For further information contact: – The Chairman, ... Soma zaidi
7 Oktoba, 2016
Zanzibar Professionals of English Language Teaching Organization{Jumuiya ya Walimu wa Kufundisha Lugha ya Kiingireza} [ZAPELATO] - ZAPELATO highly commends the voluntary spirit shown by their members and entire executive team at being patient as the Organization gets registered. The process was not an easy task as most reckoned by alas ZAPELATO is now fully registered and forges ahead with challenges and hopes to foster good teachers for English – The... Soma zaidi
27 Septemba, 2016
Zanzibar Civil Society Alliance on Climate Change (ZACCA) - CALL FOR ONLINE CONTRIBUTION FOR LOCAL CLIMATE CHANGE ADAPTATION CAMPAIGN IN ZANZIBAR and VOLUNTEERS TO SUPPORT LOCAL ADAPTATION – Zanzibar Climate Change Alliance (ZACCA) has launched special campaign to assist rural poor and marginalised community to adapt impact of climate change. The support will assist 300,000... Soma zaidi
22 Septemba, 2016
Nachingwea Multsectral Initiatives - Tunajitolea ktk secta kama afya ,elimu ,kilimo, mazingira, pamoja na masuala ya haki za kibinadamu na tunatoa huduma ktk majanja mbalimbali kama njaa, tetemeko la ardhi na magonjwa ya milipiko
16 Septemba, 2016
UNIVERSAL MINISTRY OF AFRICA INTERNATIONAL - VOLUNTEERING POSTS – Volunteers are placed to exciting community schools or public schools which need of new volunteers to work in their schools and other community activities. Many of our schools we... Soma zaidi
16 Septemba, 2016
Tanzania Students' Entrepreneurship Association - We are looking for foreigh volunteers from Europe and USA and Canada. – Like us on Face book: http://www.facebook/tanzaniatasea
25 Agosti, 2016
Mohispac Foundation - VOLUNTEERS OPPORTUNITIES WE HAVEONLINE VOLUNTEERS – Mohispac Foundation is seeking for online volunteer to help us in – fundraising,grant making,advertise our projects proposal,events and – news to social media and link us with potential individual donor/ – organizations.The... Soma zaidi
25 Agosti, 2016
African Family Action Plan - Tunahitaji volunteer anaweza kuandika andiko LA mradi na anayejua masula ya fedha.
7 Agosti, 2016
AGRICULTURAL REVOLUTION AND COMMUNITY DEVELOPMENT - TUNAPENDA KUITANGAZIA IMMA KUWA TUNAHITAJI MTU WA KUJITOLEA KATIKA NAFASI YA MRATIBU WA MIRADI ANAYEWEZA KUWASHAWISHI WAHISANI KUJITOA KATIKA KUENDELEZA ASASI YETU. AWE NA UWEZO KUANDIKA ANDIKO LA MIRADI NA TAALUMA YA KIFEDHA. – MALIPO YATATOKANA NA KAZI ILIYOFANIKIWA – MAWASILIANO: – 0752184141 ... Soma zaidi
29 Julai, 2016