Envaya

Bodi ya Wakurugenzi wa Asasi ya Pretty Development for Poverty Reduction (PDPR) inapenda kujawajulisha mabadiliko ya bei za uchimbaji wa visima vya maji kuanzia Tarehe: 16 April 2018 hadi hapo itakapo watakapo badilisha tena,

Bei zimepanda kufuati gharama za uendeshaji kuzidi kuongezeka kutokana na vifaa kuuzwa kwa gharama za juu,

  1. 1Mkoa wa Dar es salaam na Pwani kwa kila mita Moja watalipia Tsh: 45,000/= na survey watalipia 350,000/= 
  2. Mikoa mingine yote iliyobakia survey watalipia (Laki nne na nusu) TSH: 450,000/= na uchimbaji kwa kila mita itakuwa TSH: 60,000/= Bila pump.
  3. Bei za Pump zitakuwa kama ifuatavyo:- Pump ya umeme watsani wa laki 8, Diseal 2.5M, Upepo 12m, Solar 6m.
  4. Mobilization  cost (Usafirishaji  wa mashine/maghari/ vifaa) kwa waliopo njee ya Dar es salaam na pwani watalipia Laki (Tano tu) TSH: 500,000/=
 

ZINGATIA:

1) Maji tukiyakosa tutakuchimbia kisima kingine kwa gharama ilele tu Utaombwa kuchangia Kiasi cha Laki tano ya mafuta tu, na kama huwezi kuchangia hatutaweza kukufidia na unashauriwa utafute mchimbaji mwingine mapema.

2) Hatupokei Survey report ya Company nyingine, na hatuwezi zitumia point zake bila kufanya ya kwetu kutokana na Surveyor wengine kuwa na mashine za kizamani, kutokuwa na uzoefu, uvivu au kuchanganya sehemu zenye maji.

 

Bei hii inawahusu watu wote waliofanya survey tayali na ambao hawajafanya tu haiwahusu ambao tayali walishalipia kuchimbiwa tayali kabra ya Tarehe 15 April 2018.

 

By: Jesca Faith,

April 16, 2018
« Previous

Comments (6)

Kennedy Sabas Haule (Ifakara Morogoro) said:

Je kama nina uhitaji wa kisima Ifakara, Morogoro inawezekana kuchimba kwa mkopo?

April 17, 2018 (edited April 17, 2018)
[comment deleted]
[comment deleted]
Justin (Mwanza) said:
Tunaomba muwe mnajibu email na sms
February 19, 2019
Kaleji seif (Chemba, Dodoma) said:
Kwa kawaida visima hua vinakua na mita ngapi ili nitathmini gharama ambayo nitapaswa kulipia mana nahisi huku maji yatakua mbali
June 3, 2019
Jane Mashaka (Dar es sala -mbezi- Luguruni) said:
Mimi ni Mjasiriamali mdogo natengeneza sabuni za maji na za miche hitaji langu nikopeshwe machine ya kukorogea sabuni za maji na machine ya kutengeza sabuni ya miche naomba maelezo na taratibu za ofisi yenu
September 11, 2019
Jane Mashaka (Dar es sala -mbezi- Luguruni) said:
Chaeta Mimi ninahitaji Mashine ya kokorogea sabuni za maji na sabuni za miche/vipande
September 11, 2019
Jackson zeno (Pwani) said:
Tunaaomba Mawasiliano
September 29, 2019

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.