UCHIMBAJI WA VISIMA VYA MKONO NA MASHINE
Jipatie KISIMA cha Maji kwa LAKI TANO.
Kutoka Asasi ya PDPR Njombe,
Gharama za mradi:
kuchimba laki 5, kama kipo ndani ya mita 25 kila mita itakayo zidi utalipia 20,000
ukihitaji kufungiwa water pump ipo ya solar milioni 1.6 ya umeme laki 6 zote zikiwa complete pamoja na instalation.
Kisima kinauwezo Wa kutoa Zaidi ya Lita 7000 kwa siku. Unaweza tumia Maji kwa mahitaji ya
nyumbani, Kilimo cha umwagiliaji, na mifug
Kwa maelezo zaidi piga simu 0754397178 au 0652556833
20 Julai, 2016
Maoni (31)
Bado napitia hii website na kuchambua fursa ipi nianze nayo
Nnashida na softcopy ya elinu ya, kilimo na ufugaji naipataje??
Mimi ni mwalimu wa sekondary pia najihususha na kilimo na ujasiria mali. Nimeona zile mashine mnazounda nimevutiwa sana..
Mnafanya kazi nzuri ssna. Lkn mbona namba zenu hazipatilani??
Pia kuna watu kadhaa wanahitaji huduma zenu
me niko iringa mjini ,ofisi zenu zpo maeneo gani niwatembelee tuongee uso kwa uso?
I need a 85m + water well at Pandambili in Dodoma region. What are the costs plus a solar water pump. I have undertaken survey study so I am almost sure about the depth.
au nimikoa gani mnatoa huduma