About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
PRETTY DEVELOPMENT FOR POVERTY REDUCTION (PDPR)
Njombe, Tanzania
History
MIKOPO YA MASHINE
EGG INCUBATOR& mizinga
UCHIMBAJI WA VISIMA
TECH PROJECTS
Volunteer
News
Discussions
Contact
May 17, 2017
« Previous
Next »
Comments (10)
mike nguma (kilimanjaro) said:
mashine za kutengeneza mkaa ni zipi mbona sizioni
June 4, 2017
Rainer (Mwanza) said:
Aisee KAZI nzuri sana mnafanya, hopu to see you hivi punde.
June 19, 2017
Yonna Mbena (Karagwe) said:
Mashine za kutotolea kuku zinapatikanaje kwa walio mbali kama huku?
June 29, 2017
nicholaus george (tanga. ) said:
nimependa. nilikuwa natafuta wapi nitapata mashine ya kukamulia alizeti
July 27, 2017
neema emmanuel (dar es salaam) said:
Jinsi ya kupata mkopo wa mashine ya kusaga na kukoboa, na vigezo ni vipi?
December 9, 2017
Shukrani Sauli Siame (Songwe) said:
kwa mkoa wa mbeya na songwe mnapatikana wapi??
January 2, 2018
Rwassa Graciano (Kahama Shinyanga) said:
natamani kupata zaidi mawasiliano yenu kwa kufikia malengo yangu ya kufungua kiwanda
February 10, 2018
[comment deleted]
Rehema Kittoa (Geita) said:
Ndoto yangu ni kuanzisha kiwanda cha kukamua mafuta ya Alizeti big up sana kwa vitendea kazi japo bei ipo juu
February 16, 2018
[comment deleted]
Emmanuel Mathayo (Maili-Mbili Mnadani (Miyuji) Dodoma) said:
kazi zenu ni njema na zinalenga kuondoa umaskini. Nahitaji kuchimba visima viwili. nikiwa Dodoma tunawasilianaje ili kuandaa mkataba?
September 18, 2018
Moses (Tanga) said:
Nipeni bei ya mashine ya kitengenezea mkaa na mashine ya kutotoleshea vifaranga vya kuku
April 15, 2019
Add a comment
Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.
Publish comment
Share:
Email
Facebook
Twitter
Google+
Comments (10)