Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
PRETTY DEVELOPMENT FOR POVERTY REDUCTION (PDPR)
Njombe, Tanzania
Historia
MIKOPO YA MASHINE
EGG INCUBATOR& mizinga
UCHIMBAJI WA VISIMA
TECH PROJECTS
Jitolee
Habari
Majadiliano
Mawasiliano
Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza.
Hariri tafsiri
MJASIRIAMALI NA MFANYABIASHARA
(2)
Mfanya biashara
ni mtu anayenunua bidhaa au huduma kwa bei ndogo na kuuza kwa bei kubwa ili apate faida kutokana na fedha aliyowekeza kama mtaji.
wakati Mjasiliamalia
ni mtu jasiri...
16 Mei, 2019 na AHADI MWAKANIEMBA
Question
Naomba kuuliza hii kampuni bado inafanya kaz maana kila ninachosoma naona nichamda mrefu Hamna updates nitashukuru kupata majibu maana nimependezwa na niliyoyasoma
13 Mei, 2019 na Tweve
Question
Naomba kuuliza hii kampuni bado inafanya kaz maana kila ninachosoma naona nichamda mrefu Hamna updates nitashukuru kupata majibu maana nimependezwa na niliyoyasoma
13 Mei, 2019 na Tweve
Is it true that most of young failed to enter into entrepreneurship because of lack of capital or good idea
(5)
After business idea and bisness plan, then comes the issue of capital! one must have the strategies on how he will get the capital. The conditions to get loans from many instituions in our country are not friendly to most...
24 Juni, 2017 na Vasco Mwalongo
PDPR Hakika Mkombozi Wetu
Nawapongeza kwa jitihada zenu na mikakati mbali mbali muitoayo kwa jamii ili kuondokana na kupunguza kasi kubwa ya umasikini, rai yangu ni kuwahtaji muongeze wigo wenu ili hata mkulima asiye na simu na umeme yaani ya vjiji vya mbali apate hata...
12 Mei, 2017 na Daniel Kalekwa
VIFUNGASHIO LEBO NA ELIMU YA MASOKO NI VIKWAZO KWA WAJASIRIAMALI TANZANIA
Ni ukweli ulio wazi kuwa kila mteja atapenda kununua bidhaa iliyofungashwa vizuri na yenye lebo ya kuvutia, Ni kweli pia kuwa bidhaa hata iwe nzuri vipi kama imefungashwa vibaya haiwezi mvutia mteja yeyote yule. – Nayaandika haya...
6 Aprili, 2017 na TUMPALE MWAKASANGULA
A Thanks Giving Note
Surely its not a topic but my mind forces me to write something. – Thanks for giving an eye to poor people. I have gone through your website and I felt how committed the organization is to poor people. you are well organized and your...
6 Aprili, 2017 na TUMPALE MWAKASANGULA
How we can promote rural development
(2)
@PRETTY DEVELOPMENT FOR POVERTY REDUCTION (PDPR) (Njombe, Tanzania): – wecan promote rural community through the following, – -Buildind awareness to rural commonities for instance on how to generate income through their...
25 Oktoba, 2014 na OMARY R.MLIOMI
Majadiliano mengine kwenye Envaya
Ongeza Mada Mpya
Sambaza:
Barua pepe
Facebook
Twitter
Google+