Envaya
Olai inaendelea kuutekeleza mradi wa kuwajengea uwezo wananchi, wajumbe wa mabaraza ya ardhi ya vijiji kuhusu sheria ya Ardhi Na. 5 ya vijiji ya mwaka 1999 katika kata 5 za mradi