Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
Kuona wanajamii hususani vijana wanatambua wajibu wao juu ya afya zao na kusimama kidete katika kuzitetea haki za afya ya uzazi kwa vijana na kusimamia utatuzi wa matatizo na changamoto mbalimbali ( mf;ukatili wa kijinsia) ili kuleta jamii yenye afya bora na yenye kujiletea maendeleo kwa kutumia nyenzo zilizopo katika jamii yao.
Mabadiliko Mapya
Mzizi Cultural Troup imeongeza TARWOC IRINGA kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
17 Agosti, 2012
Mzizi Cultural Troup imeongeza UMATI IRINGA kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
17 Agosti, 2012
Mzizi Cultural Troup imeongeza ENGENDER HEALTH (CHAMPION PROJECT) kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
17 Agosti, 2012
Sekta
Sehemu
Iringa, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu