Parts of this page are in Swahili. Edit translations
kutumia sanaa za maonyesho kama nyenzo kuu ya mawasilianao kwa vijana katika kupashana habari na uzoefu juu ya afya ya uzazi,haki za afya ya uzazi miongoni mwao na hata kupigana vita na;
1.mimba za utotoni
2.vifo vya akina mama na watoto
3.VVU/UKIMWI
Vijana wanayafanya hayo kwa kutumia sauti zao,vipaji vyao na miili yao.
Latest Updates
Mzizi Cultural Troup added 2 News updates.
Wadau na wapendwa wetu...jeuri ya kujitolea katika kufungua kituo cha habari imetokanana na michango ya wanachama ya kila mwezi na mapato yatokanayo na kukodiwa ktk maonyesho ya sanaa na wadau mbali mbali! wadau wetu katika envaya Mzizi tunawaalika wote mtakaoona kuna haja ya kutumia sanaa ktk kutoa elimu ya mambo mbalimbali kuwa mzizi tunafanya... Read more
October 17, 2011
Mzizi Cultural Troup added a News update.
Mzizi cultural troup Mwezi huu tar 7 hadi 10 tulialikwa kushirikiana na Mtandao wa vijana wanaoishi na VVU Tanzania NYP+ Tumefanya tamasha kubwa mjini kyela lililoshirikisha mbio za baiskeli kwa wasichana na mpira wa miguu kwa timu nane za wilaya ya kyela mkoani mbeya! tamasha lilikuwa na lengo la kuwapa nafasi vijana kukutana na kujadiliana juu... Read more
October 13, 2011
Mzizi Cultural Troup added a News update.
Sanaa huibua hisia za jamii zilizojificha, hutoa wigo mpana wa tafakari zinazotoa mwelekeo wa jamii kuchambua vyanzo vya tatizo,sababu za tatizo na kuipa nafasi jamii kutafuta njia za kulitatua!
October 3, 2011
Mzizi Cultural Troup joined Envaya.
October 3, 2011
Sectors
Location
manispaa ya Iringa, Iringa, Tanzania
See nearby organizations
See nearby organizations