Envaya

VIPODOZI HATARI KWA AFYA

MTWARA YOUTH POVERTY FIGHTERS GROUP (MTWARA MJINI)
10 Novemba, 2011 12:10 EAT

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA AFYA

 

 

 

 

 

MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA (TFDA)

 

VIPODOZI VYENYE VIAMBATO VILIVYOPIGWA MARUFUKU

 

Mamlaka ya Chakula na Dawa inapenda kuwafahamisha watengenezaji, waagizaji, wauzaji na wananchi kwa ujumla kuwa kwa mujibu wa kifungu cha 88 (a) cha Sheria ya Chakula, Dawa na vipodozi-2003, inakatazwa, kutengeneza, kuuza au kusambaza vipodozi vyenye viambato (ingredients) vyenye sumu au athari kwa watumiaji.

Kwa kuzingatia kifungu hiki, viambato vifuatavyo haviruhusiwi kutumika katika vipodozi vyote vinavyotumika Tanzania kutokana na athari zinazoweza kutokea kutokana na matumizi yake:-

  • ·         Bithionol
  • ·         Hexachlorophene
  • ·         Mercury compounds
  • ·         Vinyl chloride
  • ·         Zirconium – containing complexes in aerosol products
  • ·         Halogenated salicylanilides (di-, tri- metabromsalan and tetrachlorosalicynilide)
  • ·         Chloroquinone and its derivatives
  • ·         Steroids in any proportions
  • ·         Chloroform
  • ·         Chlofluorocarbon propellants (fully halogenated chlorofluoroalkanes) in cosmetic aerosol products
  • ·         Methyelene chloride

Wananchi kwa ujumla wanaaswa kuwa matumizi ya Vipodozi vya aina yoyote kati ya vyote vilivyoorodheshwa hapa chini yanaweza kumsababishia mtumiaji madhara au kumletea athari kubwa kwa sababu vipodozi hivi vimeonekana kuwa na kiambato kimoja au zaidi ya kimoja vyenye sumu vilizoorodheshwa hapo juu.

Mamlaka inawataka watengenezaji, waagizaji, wauzaji na wasambazaji wote wa vipodozi wahakikishe kwamba bidhaa zao (vipodozi) hazina viambato vilivyotajwa hapo juu na vipodozi hivyo visiwe kati ya hivyo vilivyotajwa hapa chini. Pia wahakikishe kwamba vipodozi vilivyotajwa hapa chini haviingizwi wala kutengenezwa hapa nchini.

Mamlaka inawataka wafanyabiashara wa vipodozi na wananchi kwa ujumla kuviwasilisha vipodozi vilivyo na viambato venye sumu kwa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) au kwa waganga wakuu wa mikoa na wilaya kwa ajili ya uteketezaji.

 

“Cream” na “lotions” zenye kiambato cha “Hydroquinone”

 

1.

Mekako Cream

2.

Rico Complexion Cream

3.

Princess Cream

4.

Butone Cream

5.

Extra Clear Cream

6.

Mic Cream

7.

Viva Super Lemon Cream

8.

Ultra Skin Tone Cream

9.

Fade - Out Cream

10.

Palmer`s Skin Success (pack) Cream

11.

Fair & white Active Lightening Cream

12.

Fair & White Whitening Cream

13.

Fair & White Strong Bleaching Treatment Cream

14.

Fair & white Body Clearing milk – tight Cream

15.

Maxi – Tone fade Cream

16.

Nadinola Fade Cream

17.

Clear Essence Medicated fade Cream

18.

Peau Claire Body Lotion

19.

Reine Clair Rico Super Body Lotion

20.

Immediat Claire Maxi – Beuty lotion

21.

Tura Lotion

22.

Ikb Medicated Cream

23.

Crusader Skin Toning Cream

24.

Tura Bright & Even Cream

25.

Claire Cream

26.

Miki Beauty Cream

27.

Peau Claire Crème Eclaircissante

28.

Sivoclair lightening Body Lotion

29.

Extra Clair lightening Body Lotion

30.

Precieux Treatment Beauty Lotion

31.

Clear Essence Skin Beautifying Milk

32.

Tura Skin Toning Cream

33.

Madonna Medicated Beauty Cream

34.

Mrembo Medicated Beauty Cream

35.

Shirley Cream

36.

Kiss – Medicated Beauty Cream

37.

UNO21 Cream

38.

Princess Patra Luxury Complexion Cream

39.

Envi Skin Toner - Cream

40.

Zarina Medicated Skin Lightener - Cream

41.

Ambi Special Complexion - Cream

42.

Lolane Cream

43.

Glotone Complexion Cream

44.

Nindola Cream

45.

Tonight Night Beauty Cream

46.

Fulani Cream Eclaircissante

47.

Clere Lemon Cream

48.

Clere Extra Cream

49.

Binti Jambo Cream

50.

Malaika Medicated Beauty Cream

51.

Dear Heart with Hydroquinone Cream

52.

Nish Medicated Cream

53.

Island Beauty Skin Fade Cream

54.

Malibu Medicated Cream

55.

Care plus Fairness Cream

56.

Topiclear Cream

57.

Carekako Medicated Cream

58.

Body Clear Cream

59.

A3 Skin Lightening Cream

60.

Ambi American Formula Cream

61.

Dream Successful Cream

62.

Symba crème Skin Lite ‘N’ Smooth Cream

63.

Cleartone Skin Toning Cream

64.

Ambi Extra Complexion Cream for men

65.

Cleartone Extra Skin Toning Cream

66.

O`Nyi Skin Crème

67.

A3 Tripple action Cream Pearl Light

68.

Elegance Skin Lightening Cream

69.

Mr. Clere Cream

70.

Clear Touch Cream

71.

Crusader Ultra Brand Cream

72.

Ultime Skin Lightening Cream

73.

Rico Skin Tone Cream

74.

Baraka Skin Lightening Cream

75.

Fairlady Skin Lightening Cream

76.

Immediat Claire Lightening Body Cream

77.

Skin Lightening Lotions Containing Hydroquinone

78.

Jaribu Skin Lightening Lotion

79.

Amira Skin Lightening lotion

80.

A3 Cleartouch Complexion Lotion

81.

A3 Lemon Skin Lightening Lotion

82.

Kiss Lotion

83.

Princess Lotion

84.

Clear Touch Lotion

85.

Super Max – Tone Lotion

86

No Mark Cream

 

 

Jeli zenye kiambato cha “Hydroquinone”

 

1.

Body Clear

2.

Topi Clear

3.

Ultra Clear


Mafuta ya maji ya kujipaka yenye kiambato cha “Hydroquinone”

1.         Peau Claire Lightening Body Oil

 

Sabuni zenye “Hydroquinone”

 

1.

Body Clear Medicated Antiseptic Soap

2.

Blackstar Soap

3.

Cherie Claire Body Beauty Lightening & Treating Soap

4.

Immediate Clair Lightening Beauty Soap

5.

Lady Claire Soap

6.

M.G.C Extra Clear Soap

7.

Topi Clear Beauty Complexion Soap

8.

Ultra Clear Soap

 

Sabuni zenye Mercury and its compounds

 

1.

Movate Soap

2.

Miki Soap

3.

Jaribu Soap

4.

Binti Jambo Soap

5.

Amira Soap

6.

Mekako Soap

7.

Rico Soap

8.

Tura Soap

9.

Acura Soap

10.

Fair Lady Soap

11.

Elegance Soap


 

Krim zenye Mercury and its Compounds

1.

Pimplex Medicated Cream

2.

New Shirley Medicated Cream

 

Krim zenye misuguano (hormones in steroids)

 

1.

Amira Cream

2.

Jaribu Cream

3.

Fair & Lovely Super Cream

4.

Neu Clear Cream Plus (spot Remover)

5.

Age renewal Cream

6.

Visible Difference Cream (Neu Clear – Spots Remover)

7.

Body Clear Cream

8.

Sivo Clair Fade Cream

9.

Skin Balance Lemon Cream

10.

Peau Claire Cream

11.

Skin Success Cream

12.

M & C DynamiClair Cream

13.

Skin Success Fade Cream

14.

Fairly White Cream

15.

Clear Essence Cream

16.

Miss Caroline Cream

17.

Lemonvate Cream

18.

Movate Cream

19.

Soft & Beautiful Cream

20.

Mediven Cream

21.

Body treat Cream (spot remover)

22.

Dark & Lovely Cream

23.

SivoClair Cream

24.

Musk – Clear Cream

25.

Fair & Beautiful Cream

26.

Beautiful Beginning Cream

27.

Diproson Cream

28.

Dermovate Cream

29.

Top Lemon Plus

30.

Lemon Cream

31.

Beta Lemon Cream

32.

Tenovate

33.

Unic Clear Super Cream

34.

Topiflam Cream

35.

First Class Lady Cream


 

Jeli zenye steroids

 

1.                  Fashion Fair Gel Plus

2.                  Hot Movate Gel

3.                  Hyprogel

4.                  Mova Gel Plus

5.                  Secret Gel Cream

6.                  Peau Claire Gel Plus

7.                  Hot Proson Gel

8.                  Skin Success Gel Plus

9.                  Skin Clear Gel Plus

10.              Soft & Beautiful Gel

11.              Skin Fade Gel Plus

12.              Ultra – Gel Plus

13.              Zarina Plus Top Gel

14.              Action Dermovate Gel Plus

15.              Prosone Gel

16.              Skin Balance Gel Wrinkle Remover

17.              TCB Gel plus

18.              Demo – Gel Plus

19.              Regge Lemon Gel

20.              Ultimate Lady Gel

21.              Topifram Gel Plus

22.              Clair & Lovely Gel

 

Habari zaidi kuhusu vipozi fuata kiungo hiki

 

Mamlaka ya Chakula na Dawa imeanzishwa chini ya sheria ya Chakula, Dawa na Vipodozi na. 1 ya mwaka 2003 ili kudhibiti ubora, usalama na ufanisi wa chakula, dawa za mitishamba, vifaa tiba na vipodozi. Udhibiti huu unafanyika kwa kusimamia uagizaji, utengenezaji, usambazaji, uwekaji vielelezo (lebo), uuzaji na uhifadhi wa bidhaa hizi na vitu vinavyotumika katika utengenezaji wake.

 

MKURUGENZI MKUU

MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA

S.L.P. 77150, DAR ES SALAAM

SIMU: 022 2450512 /2450751/2452108

FAKSI: 255 22 2450793

E-MAIL: tfda@tfda.or.tz


Ongeza Ujumbe Mpya

Karibisha watu kushiriki