Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

WANACHAMA WA MYDA WATAPENDA KUONA JAMII YA WATU WA MKOA WA MTWARA WANAWEZA KUSHIRIKI KATIKA MCHAKATO WA MAENDELEO YA KIJAMII,KIUCHUMI,UHIFADHI WA MAZINGIRA,USAWA WA KIJINSIA,UTAWALA BORA ILI KUBORESHA MAISHA YAO NA KUJUA HAKI ZA WANANCHI.

Latest Updates
MTWARA YOUTH DEVELOPMENT ASSOCIATION added a News update.
HABARI,TUNATARAJIA KUFANYA MKUTANO MWISHONI MWA WIKI ILI KUELEZANA MAENDELEO YA ASASI YETU,JIONI NJEMA
October 4, 2012
MTWARA YOUTH DEVELOPMENT ASSOCIATION added 2 News updates.
TUNAOMBA USHIRIKIANO WENU KATIKA MAENDELEO YA CIVIL SOCIETY NCHINI TANZANIA ILI TUWE WADAU/WASHIRIKI MUHIMA KTK MCHAKATO WA MAENDELEO YA KIJAMII NA KIUCHUMI, – NAWATAKIA KAZI NJEMA.
September 27, 2012
MTWARA YOUTH DEVELOPMENT ASSOCIATION created a Team page.
MOHAMEDI J MKWANDA – HAPPINESS MAKABALA – BASHIRU RASHID – JACOB ALEXANDER – MEMORY J MWAIPOPO – SABIKU YUSUPH – KULTHUM DAUDI – JOHN G MBWAMBO – HAMISI LIPALEPALE – MUSSA MKWANDA – JAMES LUTUMO ...
September 27, 2012
MTWARA YOUTH DEVELOPMENT ASSOCIATION joined Envaya.
September 27, 2012
Sectors
Location
MTWARA, Mtwara, Tanzania
See nearby organizations