Fungua
MTWARA YOUTH DEVELOPMENT ASSOCIATION

MTWARA YOUTH DEVELOPMENT ASSOCIATION

MTWARA, Tanzania

WANACHAMA WA MYDA WATAPENDA KUONA JAMII YA WATU WA MKOA WA MTWARA WANAWEZA KUSHIRIKI KATIKA MCHAKATO WA MAENDELEO YA KIJAMII,KIUCHUMI,UHIFADHI WA MAZINGIRA,USAWA WA KIJINSIA,UTAWALA BORA ILI KUBORESHA MAISHA YAO NA KUJUA HAKI ZA WANANCHI.

Mabadiliko Mapya
MTWARA YOUTH DEVELOPMENT ASSOCIATION imeongeza Habari.
HABARI,TUNATARAJIA KUFANYA MKUTANO MWISHONI MWA WIKI ILI KUELEZANA MAENDELEO YA ASASI YETU,JIONI NJEMA
4 Oktoba, 2012
MTWARA YOUTH DEVELOPMENT ASSOCIATION imeongeza Habari 2.
TUNAOMBA USHIRIKIANO WENU KATIKA MAENDELEO YA CIVIL SOCIETY NCHINI TANZANIA ILI TUWE WADAU/WASHIRIKI MUHIMA KTK MCHAKATO WA MAENDELEO YA KIJAMII NA KIUCHUMI, – NAWATAKIA KAZI NJEMA.
27 Septemba, 2012
MTWARA YOUTH DEVELOPMENT ASSOCIATION imeumba ukurasa wa Timu.
MOHAMEDI J MKWANDA – HAPPINESS MAKABALA – BASHIRU RASHID – JACOB ALEXANDER – MEMORY J MWAIPOPO – SABIKU YUSUPH – KULTHUM DAUDI – JOHN G MBWAMBO – HAMISI LIPALEPALE – MUSSA MKWANDA – JAMES LUTUMO ...
27 Septemba, 2012
MTWARA YOUTH DEVELOPMENT ASSOCIATION imejiunga na Envaya.
27 Septemba, 2012
Sekta
Sehemu
MTWARA, Mtwara, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu