(1) Kuinua vipaji vya vijana na watoto katika sanaa na michezo
(2) Kulinda na kutangaza utamaduni wa mtanzania ndani na nje ya nchi kwa kuzingatia
maadili na sheria za nchi
(3) Kutete haki za vijana,wanawake na watoto katika mambo yanayowahusu
(4) Kuwawezesha vijana na wanawake katika masuala ya ujasiliamali
Kutoa elimu kwa vijana juu ya kuzuia na kupunguza madhara kwa vijana wanaotumia
dawa za kulevya
Mabadiliko Mapya

MWELA THEATRE TAWI LA VUGA imeongeza Habari 10.
MUEZESHAJI AKIWASILISHA MALIGHAFI ZITAKAZOTUMIKA KUTENGENEZEA BIDHAA MBALIMBALI KATIKA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI MAFUNZO YALIYOENDESHWA NA MWELA NA KUFADHILIWA NA MWELA VUGA
25 Septemba, 2013
MWELA THEATRE TAWI LA VUGA imehariri ukurasa wa Miradi.
UTANGULIZI – Mwela theatre group tawi la vuga ni kikundi cha vijana cha kujitolea kilichoanzishwa tarehe 28/1/2010.ni muunganiko wa vijana kutoka katika vijiji vya Kidundai, Kiluwai,Vuga Kishewana Bazo wakaunda Dira ya pamoja ya kuwa na jamii iliyoelimika na inayopenda kujifunza bila kikomo.... Soma zaidi
25 Septemba, 2013

MWELA THEATRE TAWI LA VUGA imeongeza Habari 28.
Picha hapo juu ni: Salimu Hemedi wa gazeti la Mwananchi na Anna wa Magazeti ya Serikali(Habari Leo) wakichukua maelezo kwa washiriki wa mkutano wa uchukuaji wa maoni ya mabadiliko ya katiba mpya Soma zaidi
23 Septemba, 2013
Sekta
Sehemu
WILAYA YA RUSHOTO KATA YA VUGA , Tanga, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu