Fungua
MWANZA CITY YOUTH ASSOCIATION

MWANZA CITY YOUTH ASSOCIATION

MWANZA, Tanzania

KUJENGEA UWEZO MWACYA KATIKA KUENDESHA SHUGHULI ZAKE

1.4. Muhtasari wa mradi (Toa maelezo mafupi kuhusu mradi husika)

Mradi unalenga kujenga uwezo wa shirika la MWACYA ili liweze kujiendesha kwa ufanisi zaidi kwa kuwa na uwezo wa kusimamia miradi vizuri na kufanya ufuatiliaji na tathimini. Pia shirika litaweza kuandaa miongozo ya rasilimali watu, fedha na manunuzi Ambayo itakuwa inatumika na shirika. Pia asasi itajengewa uwezo ili kufahamu mbinu za  uandikaji miradi kwa wafadhili ili shirika liwe endelevu na kuwa na uwezo wa kuendesha shirika vizuri 

 

 

 



 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Jina la Asasi:  Mwanza City Youth Association (MWACYA)

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Namba ya Mradi : FCS/RSG/11/174

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Jina la Mradi:    Kuimarika uwezo na ufanisi wa MWACYA katika kutekeleza shughuli zake

 

 

 

 

 

 

 

Matokeo(Outcome)

1.0  Kuongezeka kwa ufanisi na    utendaji wa MWACYA kwa kuwa na utunzaji na usimamizi mzuri wa fedha,kuwa na mpango mkakati na uwezo katika uandishi wa miradi ifikapo February 2012

 

 

 

 

Viashiria vya Matokeo(indicators)

1.1  Kuwepo kwa utunzaji mzuri wa fedha za MWACYA,kutumia vitabu vya fedha.

1.2  Kuwepo kwa mpango mkakati wa uendeshaji wa MWACYA.

1.3  Idadi ya maombi ya miradi iliyoandaliwa na kupelekwa kwa wafadhili.

Takwimu za Awali (baseline data)

 

MWACYA haina utaratibu mzuri wa usimamizi wa fedha, pia MWACYA haina mpango mkakati na haina uwezo wa usimamizi wa miradi

 

 

 

 

Shabaha ya Mradi(Kiwango cha Mabadiliko kinacotarajiwa bada ya utekelezeja wa mradi)

 

Ifikapo February 2012 MWACYA iwe na uwezo wa kuandika miradi,usimamizi wa fedha ulio imara na kuwa na mpango mkakati unao tumika.

 

 

 

 

 

 

Jedwali la matokeo ya awali na shughuli.

 

Matokeo ya Awali(outputs)

Shughuli kwa kila tokeo(activities for each output)

1.1 Mwongozo wa fedha umetayarishwa na unatumika. 

1.1.1 Kutayarisha mwongozo wa fedha wa MWACYA.

 

2.1Wanachama 20 wa MWACYA wamepatiwa mafunzo ya mpango mkakati.

 

2.1.1 Kuandaa mafunzo ya siku mbili (2) ya mpango mkakati kwa wanachama.

2.2 Mpango mkakati unaoonesha mwelekeo wa MWACYA kwa miaka 3 ijayo umetayarishwa na unafanyakazi. 

2.2.1 Utayarishaji wa  mpango mkakati  wa miaka 3 kwa siku tatu (3) 

 

3.1 Wanachama 20 wa MWACYA wanapatiwa mafunzo ya usimamizi wa miradi.

3.1.1 Kuandaa warsha ya siku tatu (3) ya ubunifu wa miradi kwa wanachama wa MWACYA. 

3.2 Uwezo wa MWACYA katika ubunifu na usimamizi wa miradi umeongezeka. 

3.2.1

 

 

4.1 MWACYA inatumia taarifa za utekelezaji na taarifa za ufuatiliaji na tathimini, imezifanyia kazi changamoto,uzaifu na tulichojifunza ifikapo March 2012 

4.1.1 Kufanya ufuatiliaji na tathimini. 

 

SASI: MWANZA CITY YOUTH ASSOCIATION (MWACYA)

Matokeo ya awali (Ni matokeo gani yanayotarajiwa kutokea mara baada ya kutekeleza shughuli za mradi?)

Shughuli

Kiwango cha utekelezaji kinachotarajiwa (kwa kila shughuli onyesha idadi ya walengwa utakaowafikia; nafasi zao katika jamii; idadi ya matukio; vijiji/kata/tarafa/wilaya zitakazonufaika na utekelezaji wa shughuli n.k.)

Njia za kuthibitisha ( je ni kitu gani kitakachoonyesha /thibitisha kuwa shughuli husika  imetekelezwa?)

Muda wa Utekelezaji

Gharama za shughuli (Ni kiasi gani itakugharimu kutekeleza kila shughulu)

Mhusika (Je, nani atawajibika na utekelezaji wa shughuli husika?)

 

Robo 1

Robo 2

Robo 3

Robo 4

1

2

3

4

5

6

7

8

9

10

11

12

1.1 Kuwa na mwongozo wa fedha wa MWACYA 

1.1.1 Kutayarisha muongozo wa fedha wa MWACYA.

 

Wataalamu 2 na viongozi 3.

 

 

 

Miongozo ya fedha iliyo andaliwa

1

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

1,240,000.00

 

 

 

Mratibu,katibu na mhasibu.

2.1 Wanachama 20 wa MWACYA wamepatiwa mafunzo ya mpango mkakati.

 

2.1.1 Kuandaa mafunzo ya siku tatu (3) ya mpango mkakati kwa wanachama.

Wanachama 20 wa MWACYA. Wanaume 12 na wanawake 8 wamepatiwa mafunzo.

 

Taarifa ya za mafunzo yaliyotolewa.

 

1

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

2,391,000.00

 

 

Mratibu,katibu na mhasibu

2.2 Mpango mkakati unaoonesha mwelekeo wa MWACYA wa miaka 3 ijayo umetayarishwa na unafanyakazi. 

2.2.1  Utayarishaji wa  mpango mkakati  wa miaka 3 kwa siku tatu (3) 

Wanachama 20 wa MWACYA. Wanaume 12 na wanawake 8 wamepatiwa mafunzo.

 

 

Mpango mkakati unaotumika.

 

1

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Mratibu,katibu na mhasibu

3.1 Wanachama 20 wa MWACYA wanapatiwa mafunzo ya usimamizi wa miradi.

 

3.1.1 Kuandaa warsha ya siku tatu (3) ya ubunifu wa miradi kwa wanachama wa MWACYA 

Wanachama 20 wa MWACYA. Wanaume 12 na wanawake 8 wamepatiwa mafunzo.

 

 

Taarifa ya mafunzo

 

 

1

 

 

 

 

 

 

 

 

 

1,278,500.00

 

Mratibu,katibu na mhasibu

3.2 Uwezo wa MWACYA katika ubunifu na usimamizi wa miradi umeongezeka. 

 

Wanachama 20 wa MWACYA. Wanaume 12 na wanawake 8 wamepatiwa mafunzo.

 

Taarifa ya utekelezaji

 

 

1

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Mratibu,katibu na mhasibu

4.1 MWACYA inatumia taarifa za utekelezaji na taarifa za ufuatiliaji na tathimini, imezifanyiakazi changamoto,uzaifu na tulichojifunza ifikapo march 2012 

4.1.1 Kufanya ufuatiliaji na tathimini. 

 

Viongozi wa MWACYA.

 

 

 

 

Taarifa ya utekelezaji.

 

 

1

 

 

 

 

 

 

 

 

 

800,000.00

 

Mratibu,katibu na mhasibu

                                     

Jedwaali la Mpango Kazi.

 

KIAMBATISHO  : MPANGO WA UFUATILIAJI

 

JINA LA ASASI:   MWANZA CITY YOUTH ASSOCIATION (MWACYA)

 

JINA LA MRADI: KUIMARIKA UWEZO NA UFANISI WA MWACYA KATIKA KUTEKELEZA SHUGHULI ZAKE.

 

 

NAMBA YA MRADI; FCS/RSG/11/174

 

Hirakia ya Matokeo

Ni madadiliko gani unatarajia yatokee kutokana na utekelezaji wa mradi wako?

Kiashiria (Ni kipimo gani umejiwekea kuonyesha madaliko tarajiwa?)

Taarifa za Awali (Hali ikoje sasa? kwa mfano, Tunaanzia wapi?)

 

Shabaha (Kiwango cha mabadiliko tunachotarajia kukifikia baada ya utekelezaji wa mradi?)

Tutapimaje mabadiliko?

(Njia au Mbinu za kupima mabadiliko)

 

Taarifa itakusanywa kila baada ya muda gani?

Mhusika (Nani atafuatiliataarifa husika  katika hatua za utekelezaji?)

 

 

Mabadiliko tarajiwa

1.0 Kuongezeka kwa ufanisi na    utendaji wa MWACYA kwa kuwa na utunzaji na usimamizi mzuri wa fedha,kuwa na mpango mkakati na uwezo katika uandishi wa miradi ifikapo February 2012

 

 

1.1     Kuwepo kwa utunzaji mzuri wa fedha za asasi,kutumia vitabu vya fedha.

1.2     Kuwepo kwa mpango mkakati wa uendeshaji wa MWACYA.

1.3     Idadi ya maombi ya miradi iliyoandaliwa na kupelekwa kwa wafadhili

 MWACYA haina utaratibu mzuri wa usimamizi wa fedha, pia MWACYA haina mpango mkakati na haina uwezo wa usimamizi wa miradi

 

Ifikapo february 2012 MWACYA iwe na uwezo wa kuandika miradi,usimamizi wa fedha ulio imara na kuwa na mpango mkakati unao tumika.

1.1.1Taarifa ya za mafunzo yaliyotolewa kwa wanachama

1.1.2 Mpango mkakati unaotumika.

I.1.3 Idadi ya maombi ya miradi iliyoandaliwa na kupelekwa kwa wafadhili

1.1.4 Lengo kuu la mradi limefikiwa

Miezi mitatu.

Mratibu,katibu na mhasibu.

Matokeo ya Awali

1.3 Kuwa na mwongozo wa fedha wa MWACYA unaotumika.

 

Miongozo ya fedha iliyo andaliwa

MWACYA haina utaratibu mzuri wa usimamizi wa fedha, pamoja wanachama wengi kuwa wahasibu.

 

Kuwepo na muongozo wa fedha unaotumika.

Miongozo ya fedha inayotumika

Miezi mitatu

Mratibu,katibu na mhasibu.

2.1 Wanachama 20 wa MWACYA wamepatiwa mafunzo ya mpango mkakati.

2.2 Mpango mkakati unaoonesha mwelekeo wa MWACYA wa miaka 3 ijayo umetayarishwa na unafanyakazi.

Idadi ya wanachama waliopatiwa mafunzo

MWACYA haina mpango mkakati .

Ifikapo February 2012 MWACYA iwe na mpango makakati unao tumika.

Mpango mkakati unaotumika.

Miezi mitatu

Mratibu,katibu na mhasibu.

3.1 Wanachama 20 wa MWACYA wanapatiwa mafunzo ya usimamizi wa miradi

3.2 Uwezo wa MWACYA katika ubunifu na usimamizi wa miradi umeongezeka.

3.1.1 Idadi ya wanachama waliopatiwa mafunzo

 

 

3.2.1 Idadi ya maombi ya miradi iliyoandaliwa na kupelekwa kwa wafadhili.

MWACYA inaye mtumishi mmoja tu mwenye uwezo wa kuandika miradi

Ifikapo February 2012 MWACYA iwe na uwezo wa kuandika miradi

3.1.1.1 Taarifa ya mafunzo

 

3.2.1.1 Taarifa ya ufuatiliaji.

Miezi mitatu

Mratibu,katibu na mhasibu

4.1 MWACYA inatumia taarifa za utekelezaji na taarifa za ufuatiliaji na tathimini, imezifanyiakazi

Hadithi za mafanikio ya mradi.

MWACYA haina utaratibu wa kufuatilia,kutathimini na kuweka kumbukumbu za mafanikio.

Mwishoni mwa mradi MWACYA itakuwa na utaratibu wa hufuatiliaji na kutathimini shughuli zake.

Taarifa ya ufuatiliaji na Tathimini.

Miezi mitatu

Mratibu,katibu na mhasibu.