Mashirika ya Ubia
Chama Cha Maendeleo Vijijini Tanga (CHAMAVITA)
CHAMA CHA MAENDELEO YA KIUCHUMI NA KIJAMII VUGA
MWELA THEATRE GROUP DAR-ES-SALAAM
MWELA THEATRE TAWI LA VUGA
TUNAWEZA WOMEN GROUP
Mabadiliko Mapya
TUNAWEZA WOMEN GROUP imeongeza Habari.
Kutokana nakutokuwa hewani kwa muda mrefu Tunaweza Women Group tunaomba radhi kwani ilikuwa nje ya uwezo wetu, napenda kuwajulisha kuwa hivi sasa tumerudi tena natunaendelea na kazi za kulijenga taifa letu shime wana Azaki tushirikiane – Ahsante wenu katika ujenzi wa taifa – Ariziki Mtambalike...
18 Agosti, 2016


MWELA THEATRE GROUP DAR-ES-SALAAM imeongeza Habari 14.
MWENYEKITI WA MWELA THEATRE GROUP AKIWA NA WASANII WA NEW GENERETION KIPINDI CHA UTENGENEZAJI WA KIPINDI CHA SIYAWEZI KIPINDI AMBACHO KINAELEZEA UKATILI WA KIJINSIA KWA WATOTO WA KIKE NA WANAWAKE WALIO KATIKA NDOA MDHAMINI WA UTENGENEZAJI WA KIPINDI HICHO NI MBUNGE WA JIMBO LA TEMEKE MH:ABDALLAH MTOLEA CHINI YA OFISI YAKE YA... Soma zaidi
10 Juni, 2016


MWELA THEATRE GROUP DAR-ES-SALAAM imeongeza Habari 14.
ofisi ya mbunge jimbo la temeke Abdallah mtolea kwa kushirikiana na equity bank watoa mafunzo ya fedha chini ya uratibu wa fikiri mvugaro mratibu wa mbunge jimbo la Temeke pia ni mkurugenzi wa mwela theatre group Soma zaidi
19 Mei, 2016


MWELA THEATRE GROUP DAR-ES-SALAAM imeongeza Habari 95.
Kazi za kinamama wa kokoni baada ya kutoka katika mafunzo yaliyofanyika kwa Dossa ukumbi wa mwela theatre sasa wafanya kazi zao wenyewe
27 Desemba, 2015

MWELA THEATRE GROUP DAR-ES-SALAAM imehariri ukurasa wa Miradi.
1.0:Utangulizi – Huu ni mpango mkakati wa shirika lisilo la kiserekali linalofanya shughuli zake kwa kufuata utaratibu wa kiutendaji.Shirika hili linajulikana kama MWANAMBOGO UNITED YOUTH DEVELOPMENT(MUYODE).MUYODE imeanza kutambulika na jamii kwa hasa kutokana na utendaji wa kazi mara tu yulivyopata usajiri.MUYODE... Soma zaidi
8 Novemba, 2014