Fungua
Jumuiya Endelevu Bagamoyo

Jumuiya Endelevu Bagamoyo

Bagamoyo, Tanzania

Jumuiya yetu inafanya kazi ya kuwajengea uwezo jamii ya watu wa wilaya ya Bagamoyo katika nyanja ya elimu ya ujasiliamali, kilimo na mifugo kwa kuwajengea wafugaji malambo ya kunyweshea mifugo yao, kuweka na kukopa(SACCOS) na tunawapatia mikopo kwa kuendeleza shughuli na miradi mbalimbali ndani ya vikundi vyao. Utawala bora husuani katika uwazi na uwajibikaji kwa Viongozi wa Vikundi na watendaji wa Serikali za mtaa, na kusambaza mbegu za mihogo zinazohimili magonjwa.