Envaya

MTWARA NON GOVERNMENTAL ORGANIZATION NETWORK

Mtwara Mjini na Vijijini, Tanzania

Kuunganisha nguvu za pamoja za AZAKI na kujenga mahusiano kati ya AZAKI na Serikali

Mabadiliko Mapya
MTWARA NON GOVERNMENTAL ORGANIZATION NETWORK imeongeza Habari.
MATANGAZO – MTWANGONET inawatangazia viongozi wote wa ASASI kuleta mipango kazi ya Asasi zao katika ofisi ya MTWANGONET ili iweze kujumuishwa na ya Manispaa, mwisho tarehe 10/8/2011. kwa maelezo zaidi fika ofisini MTWANGONET siku na saa za kazi. Pia MTWANGONET inawatangazia viongozi wa Asasi zote... Soma zaidi
23 Julai, 2011
MTWARA NON GOVERNMENTAL ORGANIZATION NETWORK imeongeza Habari.
PATA MAMBO WALIYOJIFUNZA WASHIRIKI WA MAFUNZO HUKO MASASI KUANZIA TAREHE 15-20 JUNE 2011.MAMBO_TULIOJIFUNZA_KATIKA_SEMINA_YA_GIZ_MASASI.docx
20 Juni, 2011
MTWARA NON GOVERNMENTAL ORGANIZATION NETWORK imeongeza Habari 2.
CHAC wa Manispaa ya Mtwara Mikindani Bi. Deo Mtitu na Katibu wa Mtwara women living with HIV/AIDS(mwoliha) Bi.Mwanahamisi Bakari wakisikiliza kwa makini katika Mafunzo yanayoendelea mjini MASASI MTWARA TANZANIA. Soma zaidi
16 Juni, 2011
Sekta
Sehemu
Mtwara Mjini na Vijijini, Mtwara, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu