Envaya

MATANGAZO

  1. MTWANGONET inawatangazia viongozi wote wa ASASI kuleta mipango kazi ya Asasi zao katika ofisi ya MTWANGONET ili iweze kujumuishwa na ya Manispaa, mwisho tarehe 10/8/2011. kwa maelezo zaidi fika ofisini MTWANGONET siku na saa za kazi.
  2. Pia MTWANGONET inawatangazia viongozi wa Asasi zote kuja na kusoma tangazo kutoka T-MACK lililo katika mfumo wa barua, tangazo linataka asasi zinazotaka kuwa asasi kiongozi wa mradi wa FAMILY MATTERS mkoa wa Mtwara na Luvuma waombe, tarehe ya mwisho ni 29/07/2011 kwa maelezo zaidi fika ofisini MTWANGONET siku na saa za kazi.
  3. Wanachama wote ambao bado hamjamaliza au mnadaiwa ada za uanachama mnakumbushwa kulipa kama katiba inavyotaka.
23 Julai, 2011
« Iliyotangulia

Maoni (1)

TUNAWASHUKURU WADAU WOTE WANAOWEZESHA TOVUTI HII KUFANYA KAZI
23 Julai, 2011

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.