Fungua
MWANZA TRANSPORTERS ASSOCIATION

MWANZA TRANSPORTERS ASSOCIATION

JIJINI MWANZA, Tanzania

Kuwaunganisha wamiliki wa Vyombo vitoavyo huduma ya Usafirishaji Abiria Jijini Mwanza. Hasusani ni vyombo vitiavyo huduma ya usafiri wa barabarani kwa kutumia Mabasi kwa sasa na tuna lengo la kuwaunganisha na wamiliki wa Piki piki za Tairi mbili na zile za Tairi tatu, kwani kisheria tayari zimeisha rasimishwa.

Mabadiliko Mapya
MWANZA TRANSPORTERS ASSOCIATION imeumba ukurasa wa Historia.
Hapa Tanzania, miaka ya nyuma, kabla ya mwaka 2003 huduma ya Usafirishaji ilikuwa inasimamiwa na Mamlaka ya Leseni Tanzania. Mamlaka hii, kwa kipindi chote ofisi zake zilikuwa ndani ya majengo ya serikali, kwa wakuu wa Mikoa. Hivyo, kila mkoa ulipewa himaya ilio sawa na eneo la utawala wanao miliki kiutawala wakati huo na kujulikana hivyo. Kwa... Soma zaidi
4 Machi, 2011
MWANZA TRANSPORTERS ASSOCIATION imejiunga na Envaya.
4 Machi, 2011
Sekta
Sehemu
JIJINI MWANZA, Mwanza, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu