Kupambana na umaskini uliokithiri katika jamii za Mkoa wa Mtwara.
Mabadiliko Mapya
MTWARA SOCIETY AGAINST POVERTY imetoa FCS Narrative Report.
18 Mei, 2012
MTWARA SOCIETY AGAINST POVERTY imeumba ukurasa wa Historia.
Asasi ya Mtwara Society Against Poverty (MSOAPO) ni asasi ya kiraia iliyoanzishwa mnamo mwaka 2007 na wanachama waanzilishi 22 ambao walikuwa ni mabalozi wa kujitolea wa kampeni za ISHI ambazo zinalenga kupambana na janga la Virusi Vya Ukimwi na UKIMWI katika Mkoa wa Mtwara. MSOAPO ilipata usajili rasmi... Soma zaidi
17 Januari, 2012
MTWARA SOCIETY AGAINST POVERTY imejiunga na Envaya.
17 Januari, 2012
Sekta
Sehemu
Mtwara, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu