
Wageni wakiwa katika ziara ya mafunzo
 

Washiriki wakiwa katika semina ya sera ya mazingira
 

Watoto wazururaji wamekimbia skuli
 

Mashamba yaliyoathirika kwa kuingia maji ya chunvi. Kwahivyo yamehamwa
 

Wanachama wa meca wakiwa katika doria
 

Athari za kuchimba mchanga na kukata miti ovyo imepelekea maji ya chunvi kupanda maeneo ya makazi 
 

Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dr Bilali akishirikiana na wanameca akipanda miti mwaka 2011 
 

Wadau wa mazingira wa kaskazini 'A' wakimsikiliza muwezeshaji.
 

Wanajumuiya wakisikiliza hoja za wajumbe wa mkutano mkuu wa mwaka 2010