ni vizuri zaidi tuwahusishe wanafunzi wetu katka mambo ya msingi ili wasiishie kusoma vitabu bila kufahamu vizur nini hasa wanachokisoma! wanafunzi pia wawe tayari kuyafahamu na kuyajua vizuri yale wanayojifunza katika nadharia na vitendo, Mungu ibariki Tanzania na Watu wake.
Maoni (1)