Mashirika ya Ubia
Mabadiliko Mapya
Mseti Development Association imeumba ukurasa wa Miradi.
Kazi za MDA – 1.Kusaidia WAVIU wa tarafa ya Imalinyi ufugaji wa kuku wa kienyeji ili waweze kupata kipato na lishe bora kutokana na ufugaji wa kuku – 2.Utawala bora.MDA inaelimisha jamii juu ya ushirikishwaji katika kutoa maamuzi yao wenyewe ya kuleta maendeleo kwenye vijiji vyao.mradi huu upo katika tarafa za lupembe na... Soma zaidi
11 Julai, 2011