Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
wakinzawdia zawadi wanazotegeneza kama ujasilia mali wakuongeza kipato ofauti na biashara ya maiwa
mzee wa mira kijana wakimpa mgeni zawadi ya kibuyu mgeni hayeenda kuwatenbelea kwenye vikundi vyao
maelekezo niliyo pata kutoka envaya kutumia sms
leo nimetembea ENVAYA NIMEKUTANA NA BAADHI YA WAFANYAKZI WA ENVAYA WAKIONGOZWA LILIAN MATARI HALIWEZA KUNIUDUMIA PAMOJA NA RADHINA KIPOZI. HAMBAYE HALIKUA MSIKIZAJI TU.