Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Katiba iliyopendekezwa

khamis chilinga (Lindi)
March 9, 2015 at 11:21 AM EAT

Bunge maalumu la katiba baada ya kumaliza kazi yake katiba iliyopendekezwa ilizaliwa na katika kutimiza wajibu wake serikali kupitia Halmashauri za wilaya,miji,manispaa zimetawanya nakala za katiba hizi ingawa hazijatosheleza,je muda uliobaki mpaka kufikia siku ya kupiga kura ya maoni ili kupitisha au kuikata katiba hii unatosha?


Add New Message

Invite people to participate