Labayka aims to protect and preserve the natural environment at Nungwi, as well as its cultural and historical assets, and that of neighboring villages in Zanzibar, Tanzania.
Latest Updates
LABAYKA DEVELOPMENT FUND has a new message in the discussion vijana wa zanzibar wakosa maadili.
fikiri mvugaro : Asante sana Haji Mwadini kutoka Zanzibar kwa majibu yako mazuri lakini utakubaliana na mimi kuwa kila mtu ana haki ya kufanya biashara yeyote lakini bila kuvunja sheria ya Nchi. kununua na kuuza Ardhi ni haki ya kila raia bila kujali kiongozi au mtu binafsi na kuhusu kujengwa Hoteli za kitalii sio tatizo sababu ni moja ya... Read more
June 11, 2011
LABAYKA DEVELOPMENT FUND has a new message in the discussion vijana wa zanzibar wakosa maadili.
fikiri mvugaro: kutokana na utandawazi uliopo sasa umekuja na vijana ndio walio upokea kwa kasi zaidi na kujikuta vijana wanafahamu mambo mengi zaidi kuliko wazee misemo na maneno yale ya kificho yaliokuwa yakitumika zamani kuwakanyia wa watoto sasa uwezi tena kumwambia mtoto akakuelawa au kina kwa mfano zamani kijana wa miaka kumi na nane... Read more
June 8, 2011
LABAYKA DEVELOPMENT FUND has a new discussion about vijana wa zanzibar wakosa maadili.
A S KASONGO: Vijana wengi wa Zanzibar wanakosa maadili mema, kabla ya hapo vijana walikuwa na maadili mazuri – Je? kifanyike nini
May 27, 2011
LABAYKA DEVELOPMENT FUND added a News update.
Jumuiya emefanya usafi wa kijiji cha Nungwi – Jumuiya inatoa elimu ya utalii – Wamewahi kusuluhisha migogoro – Wamewashauri vijana kujiendeleza na masomo (Private)
May 27, 2011
LABAYKA DEVELOPMENT FUND joined Envaya.
May 27, 2011
Sectors
Location
nungwi, Zanzibar North, Tanzania
See nearby organizations
See nearby organizations