VIJANA WANA NAFASI KUBWA SANA KATIKA MAENDELEO YA JAMII DUNIANI KOTE.
KIGOMA YOUTH FOUNDATION (KYF) (KIGOMA)September 18, 2017 at 6:36 PM EAT (edited September 18, 2017 at 6:46 PM EAT)
JE MCHANGO WA VIJANA KATIKA MAENDELEO YA JAMII ZETU UNATHAMINIWA?
Sara Lameck Baraka (Mji mwema-Kigoma)June 15, 2019 at 6:22 PM EAT
Mimi nimesoma kozi ya maendeleo ya jamii,je naweza kupata kazi kwenye taasisi pendwa ya KYF?
Jimmy Tulia (Kigoma /kabingo)September 1, 2019 at 7:23 AM EAT
naitwa Jimmy Tulia nipo kigoma .Mimi nikijana ambaye na utaramu mkubwa wa sayansi ya Mimea .ambayo na baidding mine mfano mlimao kuwa mchungwa na mlimao kuwa chungwa hata chenza....na fani hyo nilifundishwa na Dr chrispin Greggor from USA.. naitaji sanaaa kipaumbele niweze kuitangaza kigoma kwa sayansi hiyo...ni Mimi Jimmy .0745647184
Jimmy Tulia (Kigoma /kabingo)September 1, 2019 at 7:27 AM EAT
@Sara Lameck Baraka (Mji mwema-Kigoma):
Mungu atakusaidia tupambane dada