Envaya

OMBI LA UFADHILI

KITWIRU SECONDARY SCHOOL (IRINGA MJINI,KATA YA ISAKALILO)
15 Novemba, 2011 09:34 EAT

Tunaomba ufadhili kutoka mashirika yanayosaidia NGOS ili shirika letu liweze kufanya kazi

kikamilifu kwani bado wachanga sana tunahitaji ushirikiano na mashirika yoyote yenye malengo yanafofanana na yetu:

1.Kuhusu watoto yatima

2.HIV/AIDS

3.Mazingira na upandaji wa miti

4.misaada ya kisheria

5.Elimu na uendeshaji wa shule


Ongeza Ujumbe Mpya

Karibisha watu kushiriki