Kusaidia watoto yatima waliyopo kwenye mazingira hatarishi, na wanaoishi na virusi vya ukimwi.
Pia tunajengea jamii kufanya utetezi ju ya sheria mpya ya ukimwi ya mwaka 2008, inayohusu unyanyapaa na ubaguzi.
Mabadiliko Mapya
Kibaha People Living with HIV/AIDS imejiunga na Envaya.
5 Septemba, 2012
Sekta
Sehemu
Kibaha, Pwani, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu