Envaya

FCS Narrative Report

Utangulizi

kilwa non governmental organization network
kingonet
kujenga uwezo kwa viongozi wa azaki juu ya kufuatilia rasilimali za umma (pets)
fcs/mg/03/09/034
Tarehe: desemba 2010 - februali 2011Kipindi cha Robo mwaka: 1
omari s. mkuwili s. l. p. 175 kilwa masoko
simu 0232013216, 0784598249
E-mail; kingonet_kilwa@yahoo.com

Maelezo ya Mradi

Sera
Mradi unakidhi malengo ya eneo lililochaguliwa kwa sababu mradi ulishirikisha wadau wote (viongozi wa asasi za kiraia) ambao ndiyo wahusika wakuu wa mradi na washiriki katika mafunzo.Aidha mradi unalenga kuwapaia elimu viongozi wa AZAKI juu ya PETS huu ni utekelezaji wa sera.
MkoaWilayaKataVijijiIdadi ya Wanufaika
Lindikilwazote 20vyote 103170
 Walengwa wa moja kwa mojaWalengwa wasio wa moja kwa moja
Wanawake10098690
Wanaume7082192
Jumla170180882

Shughuli na Matokeo ya Mradi

Uwezo waAZAKI katika kufuatiliamchakato wa matumizi ya fedha za ummaumeongezeka
Kuendesha mafunzo ya siku nne kwa viongozi wa AZAKI kuhusu mchakatowa kufuatilia matumizi ya fedha za umma
Mafunzo ya siku nne yalifanyika kuanzia tarehe 01 hadi 04/02/2011 kwa viongozi wa AZAKI 54 walihudhuria na yaliyofundishwa ni pamoja na;
-Dhana ya PETS,Muundo wa serikali za mitaa, Mchakato wa mpango wa bajeti, Staili na misingi ya PETS, Majukumu ya kamati za PETS,Ushawishi na utetezi katika PETS
Hakuna tofauti
Ths 8,274,000/=

Mafanikio au Matunda ya Mradi

-Uwazi katika kuweka taarifa za matumizi ngazi ya kata umeongezeka
-Idadi ya viongozi wa serikali za mitaa wanaotekeleza wajibu wao wameongezeka
-Idadi ya malalamiko yanayowasilishwa kwenye vikao yamepungua
-Taarifa za miradi kuwa wazi kwa wahusika
-Azaki kushirikishwa kwenye masuala ya serikali kama wadau wa maendeleo
-Mipago ya bajeti kushirikisha asasi za kiraia
-Wanaazaki kufhamu namna ya kufanya ufuatiliaji wa utekelezaji wa miradi
-Kuongezeka kwa uelewa kwa wanaazaki juu PETS
-Mafunzo kuendeshwa vyema na wawezeshaji

Mambo Mliyojifunza

Maelezo
Mikakati ya serikali na utoaji wa dhana ya PRTS
Muundo wa serikali za mitaa
Mchakato wa mipango ya bajeti za serikali za mitaa
Ufuatiliaji wa wa matumizi na rasilimali za umma(PETS)
Stahili na haki za msingi wa kisheria na fedha za PETS
Hatua za msingi na methodolojia za PETS

Changamoto

ChangamotoNamna mlivyokabiliana nazo
Muda wa mafunzo kuwa mfupiWawezeshaji walijitahidi kwenda na muda ili kukidhi matakwa ya mada
Tofauti za uelewa kwa washirikiMbinu shirikishi zilitumika ili kila mmoja kuweza kushiriki na kuelewa
Uoga wa viongozi kuhusu utekelezaji wa masuala ya PETSVIngozi wa Halmashauriwalishirkishwa kikamilifu kwenye mafunzo

Mahusiano

WadauNamna mlivyoshirikiana nayo
Serikali ya Halmashauri ya wilaya na Serikali kuuKupata miongozo mbalimbali
Mtandao wa mkoaMsimamizi mkuu wa AZAKI ndani ya mkoa
Vyombo vya sheri kama mahakama na polisikuwashrikisha katika mambo mbalimbali ya kisheria
JamiiWamiliki wakuu wa shughuli za AZAKI na kushiriki kwenye mafunzo mbalimbali

Mipango ya Baadae

Shughuli ZilizopangwaMwezi wa 1Mwezi wa 2Mwezi wa 3
Kuendesha mafunzo kwa wanachama 60 wa AZAKI juu ya PETSvvv

Walengwa Waliofikiwa

    Walengwa wa moja kwa mojaWalengwa wasio wa moja kwa moja
Wajane na WaganeWanawake3(Hakuna jibu)
Wanaume2(Hakuna jibu)
Jumla5(Hakuna jibu)
Watu wanaoishi na VVU/UKIMWIWanawake2(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla2(Hakuna jibu)
WazeeWanawake24(Hakuna jibu)
Wanaume23(Hakuna jibu)
Jumla47(Hakuna jibu)
Watoto YatimaWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
WatotoWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Watu wenye UlemavuWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
VijanaWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Watu wengineWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
(Hakuna jibu)

Matukio Mliyoyahudhuria

Aina ya TukioLiniMambo uliyojifunzaHatua zilizochukuliwa
Semina elekezidisemba 2009Namna ya kusimamia RuzukuKuendesha mradi na kutoa taarifa ya mradi

Viambatanisho

(Hakuna jibu)

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.