Injira
Kamachumu Environment Care Association (KECA)

Kamachumu Environment Care Association (KECA)

Kamachumu, Muleba, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

By planting trees we shade and protect the world

John C. Kakolaki (Kamachumu village, Muleba - Kagera)
31 Gicurasi, 2011 at 15:59 EAT
I have been joining several occasions and discussion about the importance of tree planting both Tanzania, home village of Kamachumu, Muleba district in Kagera region, and in Africa and not to forget the the global as well. KECA , as a symbolic gesture we are having a tree planting PROGRAM here in Muleba district. Fortunately, the movement towards a deeper commitment to environmental protection through planting new trees and taking care of the existing ones, is rapidly increasing all over the REGION. At the NATION level, trees and forests are closely linked with weather patterns and also the maintenance of a crucial balance in nature. Hence, the 'task of environment protection is a universal responsibility of all of us. I think that is extremely important for the TANZANIANS living in the settlements to not only take a keen interest in the cause of environmental protection, but also to implement this ideal in action by planting new and environmental friendly trees. In this way, we will be making an important gesture to the world in demonstrating our global concern and at the same time making our own little but significant, contribution to the cause while the very important settlement is to initiate a project of planting fruits trees on farmland.
JASMINE MOHAMED (BARIADI SHINYANGA)
22 Kamena, 2011 at 13:22 EAT (edited 26 Werurwe, 2012 at 08:06 EAT)

NI MUHIMU KUELEWA KUWA KUTAMBULIKA KWA FAIDA ZA MITI TUNAYOPANDA, KUELEZA  KWA UWAZI FAIDA ZOTE ZA MITI NA MIMEA TUNAYOPANDA INAWEZA KUSAIDIA KUCHOCHEA UHIFADHI WA HIARI WA MAZINGIRA KWA KICHOCHEA CHA FAIDA ZA MIT INAYOPANDWA,MFANO WA MIRADI INAYOENDESHWA NA WATU WA TANZANIA SPORTS AND CULTURE CONSULTANT ORGANIZATION, NA UTAFITI WA KUTAMBUA MATUMIZI YA AINA MBALIMBALI YA MIMEA KWA TIBA KWA KUSHIRIKIANA NA WATAALAMU WA TIBA ZA JADI, WAZEE ILI KUTEKELEZA MRADI WAO WA KUHIFADHI MAARIFA YA KIJADI AMBAYO YAPO HATARINI KUTOWEKA PINDI WAZEE HAO WAKIKUMBWA NA MAUTI,HIVYO KUPUNGUZA UPOTEVU WA MAARIFA YA KIJADI KWA KUYAFANYIA UTAFITI NA KUYAHIFADHI KWA KIZAZI KILICHOPO NA KIJACHO,. HIVYO TASCCO IMEEONYESHA MFANO KWA KUTAMBUA,KUTHAMINI NA KUHIFADHI UGUNDUZI WA AWALI WA WAZEE WETU, MAARIFA YA KITANZANIA,KIJADI YALIYOKATIKA HATARI YA KUPOTEA NA KUIBIWA KATIKA MCHAKATO WAO WA  KUFANYIA UTAFITI ILI KUWEZA KUZIRIDHISHA  KWA UTARATIBU RASMI KUKWEPA KUIBIWA MAARIFA HAYO NABAADAE KUUZWA TENA KWETU KAMA MAARIFA KUTOKA  SEHEMU NYINGINE.MAZINGIRA YATATUWEKA VEMA TUKIFUATA  MWENENDO WA TAASISI HII YA MWANZA.NAWAPONGEZA WENYE TAASISS ZOTE ZA AINA HII ZENYE KUJALI WATANZANIA WA KAWAIDA

LEOKADIA KADUMA (NOMBE REGIONAL TANZANIA)
27 Nyakanga, 2011 at 11:56 EAT (edited 26 Werurwe, 2012 at 08:06 EAT)

@John C. Kakolaki (Kamachumu village, Muleba - Kagera): NA LEOKADIA KADUMA (NJOMBE JITEGEMEE WOMEN GROUP) NI VEMA KUFAHAMU KUWA MABADILIKO YA NCHI SEHEMU KUBWA YANALETWA NA UHALIBIFU WA MAZINGIRA MFANO UKAME JOTO NA MARADHI NK. NA HII NDIYO HALI ILIYOPO SASA KATIKA TANZANIA. INATUPSA TUCHUKUE TAHADHALI MAPEMA ILI KUKABILIANA NA HALI HII YA MABAHILIKO YA NCHI. KWA HIYO NACHUKUWA NAFASI HII KULIPONGEZA SHIRIKA HILI KWA KAZI KUBWA WANAYOFANYA YA UPANDAJI WA MITI KWANI NI NJIA PEKEE YA KUHIFADHI MAZINGIRA. NA NASHAURI HATA MASHIRIA MENGINE KUIGA MFANO HUU. KWANI SOTE TUNAFAHAMU FAIDA YA MITI KUWA NI DAWA,KUNI,TUNAJENGEA,INALETA HEWA SAFI,MVUA N.K

NOURAT RAMADHANI (DAR ES SALAAM)
27 Nyakanga, 2011 at 12:07 EAT (edited 26 Werurwe, 2012 at 08:06 EAT)

NI KWELI KAZANANI KATIKA HILI NA MSISAHAU KUELIMISHA JAMII INAYO WAZUNGUUKA ILI IWE NA UELEWA JUU YA HAYO.

John C kakolaki (Kamachumu, Muleba, Kagera)
27 Nyakanga, 2011 at 14:54 EAT (edited 26 Werurwe, 2012 at 08:06 EAT)

@JASMINE MOHAMED (BARIADI SHINYANGA): 

Jasmine,

Nashukuru na nakupongeza kwa jinsi unavyojali mazingira. hii inaonyesha ni kwa kiasi gani watu tulivyo na mwa mwamko kuyalinda mazingira yetu popote tulipo. Lakini ni kwa kiasi gani unaguswa na miti yetu yenye kutoa dawa za asili ni swala la kukupongeza pia. Pamja na TASSCO wote kwa pamoja tupiganie hili na hasa sisi wadau wa mazingira na miti

John C kakolaki (Kamachumu, Muleba, Kagera)
27 Nyakanga, 2011 at 14:58 EAT (edited 26 Werurwe, 2012 at 08:06 EAT)

@LEOKADIA KADUMA (NOMBE REGIONAL TANZANIA): 

Leocadia, nshukuru kwa ujumbe mzuri kwa jamii. Uharibifu wa mazingira mchawi wake ni binadamu mwenyewe. Shughuri za kila siku za mwanadamu kwa sehemu kubwa zimekuwa mwiba kwa mazingira. Inahitajika elimu ya kutosha toka kwangu, kwako na kwake ili kuokoa si tu Tanzania ila dunia kwa ujumla wake.

Nakupongeza kwa kuliona hilo, wewe na shirika lako kuweni mbele katika kutoa elimu ya mazingira na matunda yake mtayaona  

John C kakolaki (Kamachumu, Muleba, Kagera)
27 Nyakanga, 2011 at 15:02 EAT (edited 26 Werurwe, 2012 at 08:06 EAT)

@NOURAT RAMADHANI (DAR ES SALAAM): 

Nourat tunashukuru kwa ushauri wako mzuri na ambao umekuja kwa muda wake. Tunaona jinsi uharibifu wa mazingira unavyofanya nchi hata ikose mvua kwa misimu yake ya kawaida. Lakini kama hiyo haitoshi sehemu ambazo siku za nyuma zilikuwa ardhi nzuri kwa kilimo sasa ni jangwa la kutisha .Nourat, mimi wewe na yule kwa pamoja tukilpigania hili tunaweza


Andika ubutumwa (Hisha)

Birashakisha...
Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.