Envaya

KAGERA WOMEN COUNSELORS NETWORK

FCS Narrative Report

FCS Narrative Report

Utangulizi

KAGERA WOMEN COUNSELORS NETWORK
KAWOCONET
Kutoa mafunzo kwa wanachama naviongozi wa KAWOCONET juu ya uongozi bora, utunzaji wa fedha, uboreshaji vyanzo vya mapato utoaji taarifa na uandishi wa miradi. KUJENGEA UWEZO HASASI.
FCS/RSG/2/11/044
Tarehe: January -March 2012Kipindi cha Robo mwaka: ya kwanza
SYLIVAND MUTTA MUGERE
P.BOX 132 CHATO GEITA
TANZANIA

Maelezo ya Mradi

Uimarishaji Asasi za Kiraia
1.Mradi unalenga katika kuinua kiwango cha utekelezaji wa shughuli katika asasi; hii ikiwa ni pamoja na kuongeza kiwango cha uwajibikaji na utawala bora kwa wanchama,uwezo wa kuandaa mipango ya maendeleo,pamoja na uandaaji wa taarifa za fedha;ikiwemo misingi ya uendeshaji wa fedha katika shirika.
MkoaWilayaKataVijijiIdadi ya Wanufaika
KageraMuleba--150
KageraChato--150
KageraNgara--150
KageraBiharamulo--150
KageraMissenyi--150
KageraKaragwe--150
KageraBukoba--150
 Walengwa wa moja kwa mojaWalengwa wasio wa moja kwa moja
Wanawake40200
Wanaume00
Jumla40200

Shughuli na Matokeo ya Mradi

1. Kuwepo kwa mpango mkakati wa asasi ifikapo February 2012
2. Kuongezeka kwa usimamizi wa fedha kulingana na misingi ya sheria ifikapo February 2012.
3. Kuongezeka kwa uelewa wa uanachama kuhusu utawala bora ifikapo February 2012.
1.Kutoa mafunzo juu ya mpango mkakati ifikapo.
2.Kutoa mafunzo juu ya utawala wa fedha.
3.Kuandaa mwongozo wa fedha.
4.Kununua vifaa vya ofisi na samani.
5.Kufanya usimamizi na tathimini.
1.Kufunzwa washiriki 10 juu ya mpango mkakati.
2.Kufunzwa washiriki 8 juu ya utawala bora.
3.Kufunzwa wahiriki 8 juu ya utawala wa fedha.
4.Kuandaliwa mwongozo wa fedha.
1.Ukubwa wa eneo la utekelezaji kwa kuwa mtandao ni wa mkoa wa Kagera.
2.Kuongezeka kwa gharama za kiutekelezaji hasa rasilimali fedha.
1.Kufunzwa washiriki 10 juu ya mpango mkakati Tsh. 2,873,000
2.Kufunzwa washiriki 8 juu ya utawala bora. Tsh. 813,000
3.Kufunzwa washiriki 8 juu ya utawala wa fedha Tsh.865,400
4.Kuandaliwa mwongozo wa fedha Tsh. 490,000
5.Kununua vifaa vya ofisi na samani. Tsh.1 730,769
6.Kufanya usimamizi na tathimini Tsh.727,231

Mafanikio au Matunda ya Mradi

-Kuwepo kwa ;
mpango mkakati.
Mwongozo wa fedha
Taarifa na kumbukumbu za fedha.
Wanachama na viongozi wa Shirika wanaweza kuandaa mpango mkakati,taarifa za fedha na kuandaa vilevile kumbukumbu kumbu za fedha kulingana na sheria na kanuni.
Upatikanaji wa wahisani wa kusaidia miradi ya maendeleo pamoja na kupatikana vyanzo vingine vya mapato.
-Ukosefu wa rasilimali fedha kulingana mahitaji ya mtandao.
-Ukubwa wa eneo la kazi kwa kuwa eneo ni katika Wilaya 6 (kwa sasa)

Mambo Mliyojifunza

Maelezo
Ushirikishwaji wa wadau ni muhimu katika maendeleo.
Utendaji wa Asasi uongezeka kulingana na uwezo wa viongozi wake.
Mpango mkakati ni dira kuu ya utekelezaji ndani ya shirika.

Changamoto

ChangamotoNamna mlivyokabiliana nazo
Kuongezeka kwa gharama za utekelezajiKutumia mfumo wa zabuni
Kuchelewa wajumbe kupata mialikoKutumia mtandao-internet

Mahusiano

WadauNamna mlivyoshirikiana nayo
Halimashauri ya WilayaWadau wakuu wa mtandao;wanawezesha wanachama kwenye gharama za vikao na mikutano.
Mitandao ya Azaki Wanatoa taarifa za msingi zinazohusu ASASI.
Pamoja na upatikanaji wawezeshaji wa mafunzo.
Serikali kuu Wasimamizi wa shughuli za ASASI kwenye Wilaya na mkoa.

Mipango ya Baadae

Shughuli ZilizopangwaMwezi wa 1Mwezi wa 2Mwezi wa 3
Kutoa mafunzo kwa kamati za wilaya (TASK FORCES) juu ya mada zilizofundishwa x
Kutoa mafunzo ya ujasiliamali kwa wadau.x
Kutoa mafunzo ya elimu ya uraia juu ya katiba ya Jamuhuri ya Muungano kwa wanachama na wadau .x

Walengwa Waliofikiwa

    Walengwa wa moja kwa mojaWalengwa wasio wa moja kwa moja
Wajane na WaganeWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Watu wanaoishi na VVU/UKIMWIWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
WazeeWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Watoto YatimaWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
WatotoWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Watu wenye UlemavuWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
VijanaWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Watu wengineWanawake40200
Wanaume0(Hakuna jibu)
Jumla40200
Wanachama na viongozi wa mtandao

Matukio Mliyoyahudhuria

Aina ya TukioLiniMambo uliyojifunzaHatua zilizochukuliwa
Mafunzo ya Usimamizi wa Ruzuku(MYG)Januari 2012Usimamizi wa miradiKutuma washiriki wawili

Viambatanisho

(Hakuna jibu)
« Iliyotangulia

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.