KAWOA :
Kwa sasa tumepamba moto na kuelimisha wanawake wajue fursa zao kwani wanawake wanaozungukwa na mgodi wanathirika sana hivyo watoto wa kike na wazee tunawaelimisha juu ya ujasilia mali
FCS Narrative Report
Utangulizi
Kahama Women Alliance
KAWOA
Mafunzo ya kuimarisha uwezo ndani ya Asasi
FCS/RSG/2/11/311
Tarehe: Desemba 30, 2011 kipindi cha 1 | Kipindi cha Robo mwaka: 1 |
Edina Kalambo
Maelezo ya Mradi
Uimarishaji Asasi za Kiraia
Mradi unakidhi kwa kuwajengea uwezo watendaji na wanachama uwezo wa kusimamia miradi na fedha
Mkoa | Wilaya | Kata | Vijiji | Idadi ya Wanufaika |
---|---|---|---|---|
Shinyanga | Kahama | Nyasubi | Nyasubi | 15 |
Walengwa wa moja kwa moja | Walengwa wasio wa moja kwa moja | |
---|---|---|
Wanawake | 15 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Jumla | 15 | (Hakuna jibu) |
Shughuli na Matokeo ya Mradi
1. Wanachama11 na watendaji 4 wamepatiwa mafunzo juu ya kusimamia miradi,
2. Viongozi 4 na wanachama 11 wamepatiwa mafunzo juu ya kuandaa mpango mkakati
3. Wanachama11 na watendaji 4 wamepatiwa mafunzo juu ya usimamizi wa fedha.
4. Mipango yote ya kutengeneza mpango mkakati imeshakamilika.
5. Timu ta ufuatiliaji na tathimini imeundwa na inafanya kazi yake

1. Kuendesha mafunzo ya siku 3 juu ya usimamizi wa miradi
2. Kuendesha Warsha ya siku 5 juu ya kuandaa mpango mkakati kwa washiriki 15
3. Kuendesha mafunzo ya siku 3 kwa wanachama 11 na watendaji 4 juu ya usimamizi wa fedha.
4. Kuandaa mpango mkakati wa asasi
5. Ufuatiliaji na Tathimini

-Mpaka sasa kunaongezeko la watendaji na wawachama wenye uwezo wa kupanga mpango mkakati yaani kutoka watendaji wa2 hadi sasa wote wa 4 na wanachama angalau 7 kati ya 11.
-Kuna midair miwili ambayo imeshabuniwa na kutumwa kwa wafadhili African Barrick Gold na UN-HABITAT (Youth Fund) na mingine bado inaandaliwa.
- Shughuli zote za uandaaji wa mpango mkakati zimekamilika na mpango mkakati upo katika hatua ya mwisho kabisa yaani mapitio ya mwisho (final review)

(Hakuna jibu)
1. Kuendesha mafunzo ya siku 3 juu ya usimamizi wa miradi = TZS 1,317,154/=
2. Kuendesha Warsha ya siku 5 juu ya kuandaa mpango mkakati kwa washiriki 15= TZS 2,819,000/=
2. Kuendesha Warsha ya siku 5 juu ya kuandaa mpango mkakati kwa washiriki 15= TZS 2,819,000/=
Mafanikio au Matunda ya Mradi
Kuongezeka kwa ufanisi na utendaji wa asasi katika maeneo ya mpango mkakati, usimamizi wa mradi, ifikapo march 2012
Mpaka sasa kunaongezeko la watendaji na wawachama wenye uwezo wa kupanga mpango mkakati yaani kutoka watendaji wa2 hadi sasa wote wa 4 na wanachama angalau 7 kati ya 11.
-Kuna miradi miwili ambayo imeshabuniwa na kutumwa kwa wafadhili African Barrick Gold na UN-HABITAT (Youth Fund) na mingine bado inaandaliwa.
- Shughuli zote za uandaaji wa mpango mkakati zimekamilika na mpango mkakati upo katika hatua ya mwisho kabisa yaani mapitio ya mwisho (final review)
-Kuna miradi miwili ambayo imeshabuniwa na kutumwa kwa wafadhili African Barrick Gold na UN-HABITAT (Youth Fund) na mingine bado inaandaliwa.
- Shughuli zote za uandaaji wa mpango mkakati zimekamilika na mpango mkakati upo katika hatua ya mwisho kabisa yaani mapitio ya mwisho (final review)
Asasi imeongeza mitandao na kujitanua katika shughuli zake.
(Hakuna jibu)
Mambo Mliyojifunza
Maelezo |
---|
Kufanya tafiti |
Jinsi ya kuboresha mawasiliano katika asasi |
Umuhimu wa kuwa na mifumo na miongozo ya usimamizi wa shughuli za asasi |
Changamoto
Changamoto | Namna mlivyokabiliana nazo |
---|---|
Mfumuko wa bei | |
Kukatika kwa mara kwa mara kwa umeme |
Mahusiano
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
Serikali ya Kijiji | Mtendaji wa kijiji alitusaidia katima mawasiliano na Mfadhili, pia alitufungulia na kufunga mafunzo |
Mipango ya Baadae
Shughuli Zilizopangwa | Mwezi wa 1 | Mwezi wa 2 | Mwezi wa 3 |
---|---|---|---|
Mrahi huu hauhusiki ni mradi wa miezi mitatu tu |
Walengwa Waliofikiwa
Walengwa wa moja kwa moja | Walengwa wasio wa moja kwa moja | ||
---|---|---|---|
Wajane na Wagane | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 0 | 0 | |
Watu wanaoishi na VVU/UKIMWI | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | 0 | |
Wazee | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Watoto Yatima | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Watoto | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Watu wenye Ulemavu | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Vijana | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Watu wengine | Wanawake | 15 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 15 | (Hakuna jibu) |
(Hakuna jibu)
Matukio Mliyoyahudhuria
Aina ya Tukio | Lini | Mambo uliyojifunza | Hatua zilizochukuliwa |
---|---|---|---|
Mafunzo ya kusimamia Ruzuku | Oktiba, 2011 | Jinsi ya kusimamia ruzuku ya The Foundation | Maandalizi ya kusimamia mradi |
Viambatanisho
(Hakuna jibu)