Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
KAESO NI ASASI ISIYO YA KISERIKALI ILIYOANZA MNAMO MWAKA 1992 NA KUPATA USAJIRI MWAKA 1994, KWA NAMABARI YA USAJIRI SO . 8192 ,MALENGO YA ASASI NI KULINDA NA KUHIFADHI MISITU MKOA WA RUKWA
MAFANIKIO YA ASASI
ASASI IMEFANIKIWA KUTOA ELIMU YA HIFADHI YA MSITU WA MBIZI AMBAO NI CHANZO KIKUU CHA MAJI KATIKA MANISPAA YA SUMBAWANGA ,KAESO IMETOA ELIMU YA HIFADHI YA UDONGO KWA KUTUMIA NYASI AINA YA VETIVA GLASS KATIKA WILAYA TATU ZA MKOA WA RUKWA KWA WAKULIMA , KAESO IMESAMBAZA MICHE YA MITI KATIKA SHULE ZA MSINGI ZA MANISPAA NA HALMASHAURI YA WILAYA ,KAESO INAMILIKI MSITU WA KUPANDWA EKARI MIA TATU (300)