Log in
KAENGESA ENVIRONMENTAL  CONSERVATION SOCIETY (KAESO)

KAENGESA ENVIRONMENTAL CONSERVATION SOCIETY (KAESO)

SUMBAWANGA , Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

KAESO NI ASASI ISIYO YA KISERIKALI ILIYOANZA MNAMO MWAKA 1992 NA KUPATA USAJIRI MWAKA 1994, KWA NAMABARI YA USAJIRI SO . 8192 ,MALENGO YA ASASI NI KULINDA NA KUHIFADHI MISITU MKOA WA RUKWA

MAFANIKIO YA ASASI

ASASI IMEFANIKIWA KUTOA ELIMU YA HIFADHI YA MSITU  WA MBIZI AMBAO NI CHANZO KIKUU CHA MAJI KATIKA MANISPAA YA SUMBAWANGA ,KAESO IMETOA ELIMU YA HIFADHI YA UDONGO KWA KUTUMIA NYASI AINA YA VETIVA GLASS KATIKA WILAYA TATU ZA MKOA WA RUKWA KWA WAKULIMA , KAESO IMESAMBAZA MICHE YA MITI KATIKA SHULE ZA MSINGI ZA MANISPAA NA HALMASHAURI YA WILAYA ,KAESO INAMILIKI MSITU WA KUPANDWA  EKARI MIA TATU (300)