Jean media imetoa msaada wa katoni za maji , na vitafunio mbalil mbali vya watoto kwa wahanga wa janga la kitaifa lililo tokea Gongo la Mboto juzi ambapo mabomu yali lipuka ghafla kwenye ghala za mabomu ziliopo eneo la Gongo la mboto. mpaka sasa watu 20 wamekwisha poteza maisha yao na 300 ni majeruhi. Janga hili limewahi kutokea hapo Mbagala.
18 Gashyantare, 2011