Parts of this page are in Swahili. Edit translations
jamaa halisi linajishughulisha na kutoa elimu ya uhamasishaji kupitia sanaa shirikishi jamii na shirikishi hadhira kupitia maigizo, filamu kama vile athari ya matumizi ya dawa za kulevya, vvu/ukimwi, utawala bora,mawasiliano bora, ujasiriamali, haki za kibinadamu,kupinga ukatili na unyanyasaji wa kijinsia, usafi wa mazingira, na mengineyo yatakayoibuka katika jamii kwa lengo la kuelimisha na kustawisha jamii. pia tunaandaa na kucheza maigizo na filamu za asili. kukuza na kuendeleza vipaji vya vijana
Latest Updates
jamaa halisi arts & film maker added a News update.
jamaa halisi imeaandaa filamu mpya iliyochezwa katika mkoa wa morogoro wilayani kilombero kwenye kijiji cha mang,ula. itatoka hivi karibuni
February 21, 2012
jamaa halisi arts & film maker created a History page.
jamaa halisi arts & film maker ilianzishwa rasmi mwaka 2010 ikiwa na wanachama kumi na tano (15), kwa sasa kuna wanachama thelathini (30). tumeweza kufanfanya kazi na asasi mbalimbali na kushiriki katika kampeni za kijamii ndani na nje ya mkoa wetu.
February 21, 2012
jamaa halisi arts & film maker joined Envaya.
February 21, 2012
Sectors
Location
ilala, Dar es Salaam, Tanzania
See nearby organizations
See nearby organizations